Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.
Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule ndipo kijana akatumia mwanya huo kumrubuni kwa kumtuma mafuta ya kupikia dukani ndipo alipomwambia amletee ndani na kupata mwanya wa kufanya jambo hilo.
Bibi wa mtoto huyo alitaka kuyamaliza kimya kimya baada ya kupewa kitu kidogo na kijana huyo.
Hadi sasa kijana huyo hajakamatwa.
Kesi hiyo tayari imeripotiwa na majirani kituo kikuu cha polisi Arusha.
Angalizo; matukio haya bado hayakomi, serikali iangalie namna ya kubadilisha sheria iwe kali zaidi ,hata ya kupigwa risasi hadharani ili kukomesha kabisa ukatili huu.