DOKEZO Arusha: Mwanafunzi wa darasa la 6 abakwa hadi kuzimia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watu wnawaza Sana ngono na fantasy mbalimbali , Kijana anapokuwa na unproductive thoughts lazima afikirie kubaka.

Na la mwisho nyie mnaozaa watoto na kumpelekea Bibi akulelelee ni kukosa kuyakabili majukumu effectively.
 
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.

Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule ndipo kijana akatumia mwanya huo kumrubuni kwa kumtuma mafuta ya kupikia dukani ndipo alipomwambia amletee ndani na kupata mwanya wa kufanya jambo hilo.

Bibi wa mtoto huyo alitaka kuyamaliza kimya kimya baada ya kupewa kitu kidogo na kijana huyo.
Hadi sasa kijana huyo hajakamatwa.

Kesi hiyo tayari imeripotiwa na majirani kituo kikuu cha polisi Arusha.

Nikisikia habari kama hizi, nahuzunika sana. Hii dunia ya leo bado kuna watu wanabaka?
 
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.

Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule ndipo kijana akatumia mwanya huo kumrubuni kwa kumtuma mafuta ya kupikia dukani ndipo alipomwambia amletee ndani na kupata mwanya wa kufanya jambo hilo.

Bibi wa mtoto huyo alitaka kuyamaliza kimya kimya baada ya kupewa kitu kidogo na kijana huyo.
Hadi sasa kijana huyo hajakamatwa.

Kesi hiyo tayari imeripotiwa na majirani kituo kikuu cha polisi Arusha.

Ni sawa, wakamfunge Poa tu, cha maana Bibi kapiga hela
 
Watu wnawaza Sana ngono na fantasy mbalimbali , Kijana anapokuwa na unproductive thoughts lazima afikirie kubaka.

Na la mwisho nyie mnaozaa watoto na kumpelekea Bibi akulelelee ni kukosa kuyakabili majukumu effectively.

Excuse me, hata Kama sina unproductive siwezi kuwaza ngono au kubaka, no excuse kwa Mbakaji, unaweza kuwaza ngono lakini usibake!
 
Inasikitisha sana kuona vijana tunafanya mambo ya ovyo kiasi hiki
 
Excuse me, hata Kama sina unproductive siwezi kuwaza ngono au kubaka, no excuse kwa Mbakaji, unaweza kuwaza ngono lakini usibake!
Kitaalamu unashuriwa kuwa productive thoughts.

Maana Saikolojia za watu huanza kuharibika hadi kufikia kuvaa ukatili n.k baada ya kukosa productive thoughts.
 
Duh hatari, yaani watu ni wanyama, Kuna sehemu nilisoma kiongozi fulani wa dini alioa katoto ka miaka sita kisha akaja kukanyandua kalipotimiza miaka tisa, inatia kichefu chefu
 
Kitaalamu unashuriwa kuwa productive thoughts.

Maana Saikolojia za watu huanza kuharibika hadi kufikia kuvaa ukatili n.k baada ya kukosa productive thoughts.

Ni sahihi na ni vyema, lakini naogopa ku justify Ubakaji, ni jambo la hovyo sana hasa linapomhusisha mtoto
 
Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.

Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule ndipo kijana akatumia mwanya huo kumrubuni kwa kumtuma mafuta ya kupikia dukani ndipo alipomwambia amletee ndani na kupata mwanya wa kufanya jambo hilo.

Bibi wa mtoto huyo alitaka kuyamaliza kimya kimya baada ya kupewa kitu kidogo na kijana huyo.
Hadi sasa kijana huyo hajakamatwa.

Kesi hiyo tayari imeripotiwa na majirani kituo kikuu cha polisi Arusha.
huyo dawa yake ni kumkata uume,unamwingiliaje mtoto mdogo kiasi hicho? mimi ningekuwa baba wa mtoto ningemkatakata kwa mapanga hadi afe alaf najipeleka polisi mwenyewe,wacha niishie jela
 
Back
Top Bottom