Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ok.Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro huo ulihusisha ndugu wa marehemu wanaodaiwa kutaka kumdhulumu mjane, hali iliyowafanya baadhi ya wananchi kuingilia kati kumtetea mama huyo.
Mwenyekiti huyo aliitwa msibani kwa lengo la kusuluhisha mgogoro huo, lakini inadaiwa kuwa baadhi ya wananchi hawakuridhishwa na namna alivyoshughulikia suala hilo, wakimtuhumu kuwa upande wa wanaodaiwa kumdhulumu mjane.
Hali ilizidi kuwa mbaya baada ya mwananchi mmoja kumwambia mwenyekiti kuwa hawampendi, jambo linalodaiwa kumkasirisha na kusababisha aanze kurushiana ngumi na mwananchi huyo.
Tukio hilo lilizua hali ya sintofahamu msibani, huku wananchi wengine wakionekana kuingilia kati kujaribu kuwatenganisha, kama inavyoonekana kwenye video ya tukio hilo.
Chanzo :Kusaga tv
Hongera Sa100 kwa kutuletea hii KOMEDIMwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro huo ulihusisha ndugu wa marehemu wanaodaiwa kutaka kumdhulumu mjane, hali iliyowafanya baadhi ya wananchi kuingilia kati kumtetea mama huyo.
Mwenyekiti huyo aliitwa msibani kwa lengo la kusuluhisha mgogoro huo, lakini inadaiwa kuwa baadhi ya wananchi hawakuridhishwa na namna alivyoshughulikia suala hilo, wakimtuhumu kuwa upande wa wanaodaiwa kumdhulumu mjane.
Hali ilizidi kuwa mbaya baada ya mwananchi mmoja kumwambia mwenyekiti kuwa hawampendi, jambo linalodaiwa kumkasirisha na kusababisha aanze kurushiana ngumi na mwananchi huyo.
Tukio hilo lilizua hali ya sintofahamu msibani, huku wananchi wengine wakionekana kuingilia kati kujaribu kuwatenganisha, kama inavyoonekana kwenye video ya tukio hilo.
Chanzo :Kusaga tv
Arusha na Kilimanjaro kwenye Mali za Urithi lazima damu imwagike, hawa jamaa wanaendeshwa na pesa na Mali hata akili wanaweka Pembeni kwanzaMwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro huo ulihusisha ndugu wa marehemu wanaodaiwa kutaka kumdhulumu mjane, hali iliyowafanya baadhi ya wananchi kuingilia kati kumtetea mama huyo.
Mwenyekiti huyo aliitwa msibani kwa lengo la kusuluhisha mgogoro huo, lakini inadaiwa kuwa baadhi ya wananchi hawakuridhishwa na namna alivyoshughulikia suala hilo, wakimtuhumu kuwa upande wa wanaodaiwa kumdhulumu mjane.
Hali ilizidi kuwa mbaya baada ya mwananchi mmoja kumwambia mwenyekiti kuwa hawampendi, jambo linalodaiwa kumkasirisha na kusababisha aanze kurushiana ngumi na mwananchi huyo.
Soma Pia: Arusha: Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ajiuzulu kwa kupunguziwa mamlaka ikiwemo kupokonywa muhuri
Hahahaπ Mwendo wa vitasa tuu π
Huyo mama kitamlamba, ndie alieanza kumpiga mwenyekiti..huyu mama apunguzage mdomo jamanMwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro huo ulihusisha ndugu wa marehemu wanaodaiwa kutaka kumdhulumu mjane, hali iliyowafanya baadhi ya wananchi kuingilia kati kumtetea mama huyo.
Mwenyekiti huyo aliitwa msibani kwa lengo la kusuluhisha mgogoro huo, lakini inadaiwa kuwa baadhi ya wananchi hawakuridhishwa na namna alivyoshughulikia suala hilo, wakimtuhumu kuwa upande wa wanaodaiwa kumdhulumu mjane.
Hali ilizidi kuwa mbaya baada ya mwananchi mmoja kumwambia mwenyekiti kuwa hawampendi, jambo linalodaiwa kumkasirisha na kusababisha aanze kurushiana ngumi na mwananchi huyo.
Soma Pia: Arusha: Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ajiuzulu kwa kupunguziwa mamlaka ikiwemo kupokonywa muhuri
Arusha mnanynyaa Sana wanawakeHuyo mama kitamlamba, ndie alieanza kumpiga mwenyekiti..huyu mama apunguzage mdomo jaman
mwenyekiti wangu uyu kwanza hana ukarib na wananch wanamtaftia tu taget ππIla Arushaππππ