GE2025 Arusha na heshima yao yote wananunuliwa kwa nyama na baada ya kula hawana chao tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini.

Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu wanavyonunuliwa na nyama

Zaidi ya shiling milioni 900 zinatekezwa kama hongo kwa ajili ya kuwanunua watu watakaojaza eneo la mapokezi ili ionekane mgombea kapokelewa na wananchi, alafu huyo anaenunuliwa baada ya kampeni hawezi hata kumpeleka mtoto wake shule, kula yake tu inamshinda ila kwasababu ya nyama ya siku moja anashindwa kuungana na wananchi ili kuleta mabadiliko kwa kuchagua viongozi bora wanaohitajika.

Siku tukaacha kuuza nchi kwasababu ya njaa Tanzania itainuka na kuendelea sana
 
Wadudu hawajawqi kuwa na akili. Nyama, bia, wale wanywe! Hata wakikataa hakuna wanachaweza kubadilisha.

Muhimu vitu viliwe na attention wasipate.
 
Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini.

Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu wanavyonunuliwa na nyama

View attachment 3453685

Zaidi ya shiling milioni 900 zinatekezwa kama hongo kwa ajili ya kuwanunua watu watakaojaza eneo la mapokezi ili ionekane mgombea kapokelewa na wananchi, alafu huyo anaenunuliwa baada ya kampeni hawezi hata kumpeleka mtoto wake shule, kula yake tu inamshinda ila kwasababu ya nyama ya siku moja anashindwa kuungana na wananchi ili kuleta mabadiliko kwa kuchagua viongozi bora wanaohitajika.

Siku tukaacha kuuza nchi kwasababu ya njaa Tanzania itainuka na kuendelea sana
Wapumbavu sana hao ......jioni tu unalikuta limetowa mimacho kuvizia bia
 
njaa mbaya sana aisee
 
Back
Top Bottom