tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wapumbavu sana hao ......jioni tu unalikuta limetowa mimacho kuvizia biaSiasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini.
Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu wanavyonunuliwa na nyama
View attachment 3453685
Zaidi ya shiling milioni 900 zinatekezwa kama hongo kwa ajili ya kuwanunua watu watakaojaza eneo la mapokezi ili ionekane mgombea kapokelewa na wananchi, alafu huyo anaenunuliwa baada ya kampeni hawezi hata kumpeleka mtoto wake shule, kula yake tu inamshinda ila kwasababu ya nyama ya siku moja anashindwa kuungana na wananchi ili kuleta mabadiliko kwa kuchagua viongozi bora wanaohitajika.
Siku tukaacha kuuza nchi kwasababu ya njaa Tanzania itainuka na kuendelea sana
njaa mbaya sana aiseeSiasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini.