Arusha na Kilimanjaro hawajawahi kunyenyekea mwanasiasa wala kiongozi: Miaka yote wamekataa kutawaliwa wanaongozwa


Nilipinga ukabila enzi jirani YETU WA chato akikimboza maendeleo kule kwetu but I know for sure kwamba tunatakiwa kupapenda kwetu, tupaendeleze.

Wivu lazima upo ila unatufikisha wapi? Tuwatese Kwa sababu wanatuzidi? Tuwafilisi Kwa sababu tunahofia watatumia utajiri wao kuweka kiongoz madarakani ? No. Tushirikiane nao watupe ajira.....usimloge mwajiri maana akifa utakosa kazi
 
Wapuuzi sana wanajidanganya hawana lolote washamba 2022 bado wako na ukabila tu

Niko nao hapa huwaga sipendi shobo nao wanajitenga kupiga picha pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameandika mhaya hili andiko
 
Wewe ni mkabila tu. Umejaribu kuficha fikira zako za ukabila kwa kigezo cha ukanda wa kaskazini na makabila ya kasikazini lakini ukweli ni kwamba unaongelea wachaga hao wengine ni kichako chako cha kujificha tu.
Aah, ndugu. I think you missed the point...

Ingeweza kuwa ameongelea "ku - promote fikra za ukabila" iwapo angefanya hivyo in a way kwamba anaponda jamii/kabila zingine. But personally I don't see this from the first paragraph to the end...

Lakini huyu ndugu kajadili jambo/mambo muhimu ya kitaifa na ya kujenga sana akitumia jamii za kaskazini wachagga, Masai, wameru nk as a point of reference...

Shida iko wapi hapo? Mimi nadhani weww ndiye uliye na mapungufu ya kushindwa KUSOMA KWA UMAKINI ili uweze KUELEWA MANTIKI (LOGIC) ya usomacho...!!
UBINAFSI ULIOPITILIZA NDIO UNAWAK-COST sana hadi kuona kwamba makabila mengine yanawachukia.
Hujaelewa...!

Please, don't be naive. Rudia tena kumsoma ili uelewe LOGIC ya andiko lote. Hakuna elements za u - selfish hapo...!!

Ukiona unasemwa vibaya na kila mtu au na watu wengi kwenye jamii ujue una tatizo/matatizo jitafakali.
Hapa una maana gani? Naona kama umechanganya madesa. Kwani nani anamsema vibaya nani?

Mimi ninachoona hapa ni kuwa Bi Beatrice Kamugisha has presented a point of his views to be discussed on the floor. It's surprisingly that wewe umeamua kuipa maana na tafsiri yako hoja yote just to suit your interests which in my opinion are just based on hatred...!!

Pole sana...
 
Hivi nyingi wachaga bado mnaamini ndo wenye hela peke yenu nchi hii? Endeleni kujifurahisha kuna makabila kibao yanamaendeleo kila sekta! Tembeeni msikariri kusafiri moshi dar mkajua ndo mwisho wa nchi!
 
Kuna wajinga kwasababu ya chuki zao za ovyo wameshaanza kuharibu huu uzi.Wao badala yakujadili hoja wamekalia ujinga tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Nasari hakuunga juhudi ccm,,?sio mmeru
 
Halafu rais wao ni Tundu lissu na VP wao ni poyoyo salum mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…