ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Hebu leta mada ya mhaya anaeusifia mji wake na kuuponda mji mwingine, hili tunaliona especially kwa baadhi ya wanakaskazini,

Hivi kweli akili tu ya kawaida mnawezaje, mna ujasiri gani kuicompare MWANZA na kiji Arusha!!! Dah aibu 😅😅
Alafu hatuna shobo na watu wa mwanza,
 
Hebu leta mada ya mhaya anaeusifia mji wake na kuuponda mji mwingine, hili tunaliona especially kwa baadhi ya wanakaskazini,

Hivi kweli akili tu ya kawaida mnawezaje, mna ujasiri gani kuicompare MWANZA na kiji Arusha!!! Dah aibu 😅😅
Muhaya nendeni uwanja wa fisi
 
Kwanini bahari ya hindi isihamie arusha??
kama bahari itahamia arusha utabidi pia mkubaliane na mabadiliko ya heli ya hewa ya joto kali yanayoendana na uwepo bahari. je watu wa arusha mtakuwa tayari kuishi katika mazingira yenye joto?.

NB: nipo arusha hapa katikati ya mji.
naona mji wenu unapitia hali mbaya ya mgao wa umeme, vilio kila sehemu. ila huyu mama hii nchi imeshamshinda,naanza kumkumbuka magufuli licha ya mapungufu yake.
 
Niko mabibo hapa nit naona huku kuna shida ya maji sana,wa mama wanafuata maji ubungo,yani mpaka unawaonea huruma,alafu sasa hakuna umeme watu wamewasha tu jenereta.
Arusha hatupendi joto
 
taifa linapitia hali ngumu.
Nyumba inayoongozwa na mwanamke daima mfumo wa kike unakuwepo mpaka watoto wanajifunza hivyo hivyo kwa mama yao,sio siri nnchi ishakuwa ya kike hii
 
karibu darslam mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…