Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Utajivuniaje jambo ambalo wewe hukuwa na maamuzi nalo au kufanya juhudi au jitihada zozote kulifanikisha? Ni sawa na mtu anayesema anajivunia kuwa Muislamu au Mkristo wakati anafuata dini ya Wazazi wake.