ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Arusha hakuna hela .
Arusha uchawi na makafara yamezidi tena watoto wengie wametolewa uhai kipindi ya machimbo ya mawe wake za watu wameacha familia zao kosa pesa .

Arusha maskini wengi maana warusha wachawi kama nini .
Pili hawapendi maendeleo ya watu .
Ukinunua shamba au kisehemu kwako wanakusumbua hadi basi .

Arusha ni mkoa wa ziki kama huamini hama uende mahali pengine dar utafanikiwa kama umefuata hela ilansio mkoa rahisi kihivyoo uchawi ni dili huko kabisa.

Jingine Arusha hakuna hela ukifanikiwa Arusha ni umeaga kwenu
we jamaa sijui unaongea nini. tukana yote, ujambazi, ukatili, wizi, utapeli n.k kwa arusha lakini sio ufukara. kati ya mikoa ambayo watu wengi wana pesa arusha mojwapo. ila ushoga naona umehamia kwa watoto wa kiarusha arusha labda kwasababu wanaanza kuzurura mtaani na kutafuta maisha wakiwa wadogo sana na watu wanawarubuni. pia jamii ya kichaga siku hizi sio moshi tu popote walipo wachunge watoto wao, mashoga wengi sana toka kabila hilo. siri ni kutafuta maisha, penda sana makafara na madawa ya kutafuta pesa kumbe unaondoa nyota ya watoto wako na kuwatoa kafara watoto kwenye maroho machafu bila hata wewe kujua. Mungu iokoe Tanzania.
 
Kweli eh hapo kwenye uganga niukweli
 
Mimi sio jamaa aisee kama kuna mtu amekuambia mi jamaa basi wewe demu shie hii kitu ol shipina lesiu . Olkuri loata ngik
 
Hivi mkuu lumumba, kaskazini ndio nature yao kujisifu hata kama sifa hiyo haikidhi!! Japo sio wote wanaojisifu.
Kiukweli! Northerners are proud people. Proud of their home, proud of their tribes, which truly is a good thing! Thou sometimes their bragging goes beyond the edge and turns into megalomania.......
Kama ulivyosema wanajifu hata kwenye sifa zisizokidhi.....
 
Ndo tatizo kubwa la ngozi nyeusi,hii kitu sio inakufanya uwe chizi,weed is natural,imetoka kwa Mungu,weed is medicine kwa wenye vidonda vya tumbo,cancer magonjwa ya mifupa,kama upati choo vinzuri,matatizo yote ya tumbo,napenda bangi inanifanya na ishi maisha ya amani sana,na kuwa ukweli kwa kila kitu,mimi sio wale wanavuta bangi na kujifanya wahuni,napenda natural things weed safi sana
Kumbe mvuta bangi?? Karibu moshono boma siara, ila bangi usije nayo, tumepambana kuujenga na kuustawisha mkoa wetu wa Arusha kwa jasho na damu halafu unatoka kijukuu sijui cha muuza bangi gani Huko kina leta kelele hadi sisi wote tunaonekana washamba, nipo Accra hapa naseti maisha, nita rudi chugga any time soon, ila hiyo over rational tuipunguze kabisa, kwa mtu aliyezurura vizurI atakushangaa sana unavyo overrate arusha yetu, we have a long way to go still

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa Chief, Unaweza pita chocho zote za Arusha usione mtu anavuta bangi ovyo ovyo, huwezi sikia bangi inaongelewa hadharani au wazazi/wazee/Jamii ya Arusha inapigia kelele.

Ila mtu kutoka nje akiongelea Arusha lazima ataje bangi kana kwamba ni kitu ambacho ukipata mitaani unaona vijana, wamama kwa wababa wanavuta, kwamba bila bangi mambo hazifanyiki.

Raia wa Arusha akianza kuongea mambo za Arusha akaanza kuleta mambo ya bangi huwa namuona wa ovyo sana.
Sehemu pekee ambayo bado kuna ushamba wa kuvuta bangi barabarani ni lemara kati, na matejoo, na kingine ni hospitality, arusha usitegemee kupata huduma uliyoipata Mwanza, dar, au moro, huku, hata ukiingia hotelini unahudumiwa kibabe, mimi ni A-towner halisi, nime zaliwa kijenge chini, nikakulia maghorofa ya makao mapya karibu na tca,enzi hizo tunapaita Melini, nimesoma ngarenaro,levolosi, arusha sec, nime piga mbishe zote za kimsingi hapo hapo Town, tuache propaganda za kishamba, arusha ina safari ndefu kufikia ustaarabu wa dunia ya Leo, bado sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kanda ya ziwa, mikoa ya kusini, pwani na dar+Zanzibar nchi,, hawana mambo ya kujisifu!! Yani arusha ingelikua mji mkubwa, wenye kuvutia na mzunguko wa pesa ni mkubwa kama DAR na MWZ, aise sijui ingekuaje!!😁😁😁 kweli huwezi kupewa vyote,
Hizo kanda wamestaarabika sana na wanajiamini watu wa Arusha hawajiamini sana ndo maana wanapenda battle zisizo na faida kabisa
 
Hizo kanda wamestaarabika sana na wanajiamini watu wa Arusha hawajiamini sana ndo maana wanapenda battle zisizo na faida kabisa

Ustaarabu utatokea wapi mkuu Accumen!😱 wengi wao hawana ustaarabu,, mkoa wenyewe hauna historia ya kutembelewa ama kuishi na waarabu ila wazungu na mayahudi ndio wanawatembelea 😅, sasa huo ustaarabu utatoka wapi!! Japo sio wote, wapo wanaojitambua, wastaarabu na wenye imani. Labda anaejua mji huo au ukanda huo ulishawahi kutembelewa na wastaarabu atujuze Accumen Mo
 
Ustaarabu utatokea wapi mkuu Accumen![emoji33] wengi wao hawana ustaarabu,, mkoa wenyewe hauna historia ya kutembelewa ama kuishi na waarabu ila wazungu na mayahudi ndio wanawatembelea [emoji28], sasa huo ustaarabu utatoka wapi!! Japo sio wote, wapo wanaojitambua, wastaarabu na wenye imani. Labda anaejua mji huo au ukanda huo ulishawahi kutembelewa na wastaarabu atujuze Accumen Mo
Hiyo Monduli na Longido ndio mmestaarabika ?
 
Kuna sehem inaitwa PHILIPS njia ya kwenda namanga kuna barid kinyade yan
 
Ustaarabu utatokea wapi mkuu Accumen!😱 wengi wao hawana ustaarabu,, mkoa wenyewe hauna historia ya kutembelewa ama kuishi na waarabu ila wazungu na mayahudi ndio wanawatembelea 😅, sasa huo ustaarabu utatoka wapi!! Japo sio wote, wapo wanaojitambua, wastaarabu na wenye imani. Labda anaejua mji huo au ukanda huo ulishawahi kutembelewa na wastaarabu atujuze Accumen Mo
Hapa nabishana na wanaume waliotahiriwa hospital😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom