ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Sisi watu wa huku ndo maana tunahita United state of arusha,nimuunganiko wa mitaa yote inayopatikana chugah,huku tunajitosheleza kwa kila kitu,tuna vyakula vya kutosha,uchumi wa huku upo vinzuri,watalii wapo kama maembe sokoni,kusema kweli serikali ingefanya arusha iwe inchi inayojitegemea kivyake
Tunahita = tunaita, vinzuri = vizuri, inchi = nchi. Kwa uandishi huu umetuaibisha sana.
 
T
He who has not traveled widely thinks that his mother is the best cook.
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

View attachment 2364815

View attachment 2364816

View attachment 2364817

View attachment 2364818

View attachment 2364819
Kwa hali ya hewa sikatai ni nzuri nimekaa arusha kwa miaka mitano Njiro, nilikataa morogoro na Dar kwa sababu ya joto kali, ila bro kiukweli unatakiwa kutembea sehemu mbalimbali ujionee tofauti hauwezi kujifungia kwenye box kisha ukasimulia sehemu ambazo haujawahi kufika huo ni uroad lofa😂😂arusha kabla ya cost of living ni kubwa kutokana na utalii na kwa kuwa hawajishughulishi sana na kilimo cha mazao ya vyakula kama mchele,na kuhusu mavazi , arusha wanapigwa sana kwenye kuuziwa mavazi na viatu, tembea ujionee Tanzania, nenda Dar, moro , mbeya na mikoa mingine ujionee utofauti na sio kukomalia uarusha mwingi, acha uoga wa kukaa sehemu moja
 
Huyu trip zake ni arusha - moshi 😅
Waarusha ndo kinachowaponza uarusha mwingi, na ubishi na ujuaji, nimeishi nao sana arusha, nimekaa miaka 5 njiro, tuseme nishakuwa mwenyeji wa chugga , nawajua vizuri uyo chalii anajistukia kakaa sana chuga bila kutoka,mtu anasemaje mkoa mmoja ni mzuri kuliko mwingine na hajawahi kufika ,
 
Sasa hivi nipo mabibo(nit) jitegemee Street,kesho nitalihamsha moro mkamba,silali chalianguu na saka doo
Aisee mabibo ndiyo nimekulia mitaa ya champion mfaume mfaume na nimesomea uko kuanzia chekechea mpaka chuo nimemaliza hapohapo(nit). Kikubwa hiyo mitaa usilete pigo za chuga kama unazoleta hapa muda huu jishikilie kidogo. Watakuchezesha sindimba, wana wataona tako na mwsho watadinda.
 
Nimezaliwa Kaloleni nikakulia Sekei ila Arusha ni pa hovyo sana usela mavi mademu fullu bangi. Arusha iko wapi just KM 2 kwa 2 ndio mji kwingine porini na ushamba.
Wewe sio mchuga watu wa arusha wanajivunia kwao,wewe ni mpitaji tu na unajua mitaa tu lakini ujazaliwa chugah
 
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

View attachment 2364815

View attachment 2364816

View attachment 2364817

View attachment 2364818

View attachment 2364819
Moja ya hizi siku nitafute nikupe historia ya Arusha
Nulizaliwa ikiitwa Arusha Township,ikawa Arusha Town,kisha Manispaa halafu ikawa City nipo mtaa wa Pangani mnara wa Mwenge.
Ilipoanza kuitwa Chuga kisha Chugastan nimehamia Dar es salam,Sinza,unataka kujua kwa nini?
... itaendelea
 
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

View attachment 2364815

View attachment 2364816

View attachment 2364817

View attachment 2364818

View attachment 2364819
Ukarimu chugga hakuna kitu ni kama wame adopt tamaduni za kenya, kanda ya pwani ndo kuna ukarimu, mara ya kwanza naenda chugga kuishi 2016, nilishangaa sana kila nyumba ina duka, hadi vichochoroni, kila mtu mfanyabiashara😂😂wachugga bhana kwenye kusaka pesa wapo vizuri wanafanya hadi vitu wasivyo na passion navyo,unaweza mkuta mamiloo kafungua mgahawa na hajui kupika kisa kuna pesa, wanaouza sasa maduka hawana ata customer service nzuri, ukienda duka la mchuga OG hakunaga cha karibu, wala karibu tena, na wakikuuzia bidhaa hadi kufungashiwa unalipia, ma maza wa chugga ni wana roho ngumu kisenge😂😂
 
Aisee mabibo ndiyo nimekulia mitaa ya champion mfaume mfaume na nimesomea uko kuanzia chekechea mpaka chuo nimemaliza hapohapo(nit). Kikubwa hiyo mitaa usilete pigo za chuga kama unazoleta hapa muda huu jishikilie kidogo. Watakuchezesha sindimba, wana wataona tako na mwsho watadinda.
Yani hapa mabibo sijui mfaume,mbambadu,banda wote wanangu simuwanzi mtu yeyote,huku asilimia kubwa wanachuo alafu mashoga kibao,yani popote nilipo tanzania naishi fresh tu,sasa wewe njo arusha
 
Mji ambao hauna bahari au ziwa ni takataka kwangu.
Arusha ni mji wa kifala sana dada zenu wahuni sana hawapo sexy ijapokuwa sura nzuri wanazo.Machalii nao ni wahuni wa kizamani sana ni vijana wa hovyo kuwahi kitokea.
Kilwa 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom