ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Hahahaha ndio maana nilimwambia hapo juu, yeye ni mgeni Arusha, ameijua juzi juzi tuu.

Sisi wenyeji tunaijua hali ya uvutaji bangi Arusha tofauti na yeye anavyoipamba
Arusha ni sehemu palipo barikiwa sana ,huwezi palinganisha na dar,ndo maana kuna watu wanasema edeni ndo arusha
 
Ndo tatizo kubwa la ngozi nyeusi,hii kitu sio inakufanya uwe chizi,weed is natural,imetoka kwa Mungu,weed is medicine kwa wenye vidonda vya tumbo,cancer magonjwa ya mifupa,kama upati choo vinzuri,matatizo yote ya tumbo,napenda bangi inanifanya na ishi maisha ya amani sana,na kuwa ukweli kwa kila kitu,mimi sio wale wanavuta bangi na kujifanya wahuni,napenda natural things weed safi sana
Leo inabidi nikatubu ku-comment kwenye uzi wa mvuta bangi. Comments zako nyingi hapa ni pumba tupu. Kuzaliwa Arusha haina maana ndo uwe msela mavi. Unachokifanya wewe ni usela mavi. Ungeisifu tu Arusha kwa lugha yenye staha bila kuingiza mambo ya bangi.
 
Broo ngoja nikueleweshe maana umelishwa pumba toka ulipokuwa mdogo,si Shangai ulivyo ndo wabongo hatuna ujuzi wa mambo mengi,elimu tuliyopewa darasani imetufanya tuwe watumwa wa fikra,kuna kitu kipo kwenye akili ya watu weusi sijui lini kitaondoka,America wameruhusu bangi hivi akili yako iwezi kupambanua mambo sio??kama bangi ni mbaya babu yangu angekuwa kichaa nimetoka kwenye ukoo wa marasta since childhood nimeishi maisha yakufundishwa mambo mengi na wazee wangu,babu yangu ana miaka 94 anafanya shughuli zake zote na bangi anavuta, vijana wa sasa wanamatatizo mengi wengi wenu nguvu za kiume hauna kwa kuwa toka ukiwa wadogo unatumia artificial medicine,mimi sijawahi umwa toka nilipokuwa na miaka 5.tumia bangi dawa nzuri sana
 
How old are u??nashangaa sana Huna elimu ya mambo pole sana elimu yako haikusaidii kitu,this is not about usela mavi broo,bangi navuta kama medicine na relaxation that's all.
 
Ukipita dar nikama umepita University, sasa arusha ndo unaenda kutumia elimu uliyopata dar
Vijana wengi kutoka Arusha wakienda kutafuta maisha dar wengi wao wamashindwa maisha, dar siyo wengi kabisa hawajui kushakalika akili zao zimezoea kwao.
 
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

View attachment 2364815

View attachment 2364816

View attachment 2364817

View attachment 2364818

View attachment 2364819
Arusha, chuga, my home, East or West home is the best, that is Arachuga, jamani Arusha kuzuri sana, kutamu sana, fedha ipo, watu wazuri, hali ya hewa nzuri sana, wasichana warembo sana, wana uzungu mzuri, wairaqw kama waarab vile, au waethiopia warembo sana, warangi, wameru, wazungu, jamani Arusha kutamu sana, mwaaah

Mungu asante kwa Arusha kuwa nyumbani, watu wake are so real, hawana uswahili, wana upendo wa kweli, daima na milele Arusha ni mimi na Mimi ni Arusha. Amen 💋❤😘🙏
 
Hahahaha[emoji23] huyo mvuta bangi achana naye atakupotezea muda.
If you know your history,ungejua ulipotoka,since kitambo wazee wetu waliishi maisha manzuri hakukuwa na magonjwa ya kijinga,walitumia natural medicine ikiwemo weed,walichemsha nyama zao na weed,walipoumwa walitumia weed,babu yangu ana miaka 94 anafanya kazi zote kwenye kampuni yake ya tour guide
 
Broo ngoja nikueleweshe maana umelishwa pumba toka ulipokuwa mdogo,si Shangai ulivyo ndo wabongo hatuna ujuzi wa mambo mengi,elimu tuliyopewa darasani imetufanya tuwe watumwa wa fikra,kuna kitu kipo kwenye akili ya watu weusi sijui lini kitaondoka,America wameruhusu bangi hivi akili yako iwezi kupambanua mambo sio??kama bangi ni mbaya babu yangu angekuwa kichaa nimetoka kwenye ukoo wa marasta since childhood nimeishi maisha yakufundishwa mambo mengi na wazee wangu,babu yangu ana miaka 94 anafanya shughuli zake zote na bangi anavuta, vijana wa sasa wanamatatizo mengi wengi wenu nguvu za kiume hauna kwa kuwa toka ukiwa wadogo unatumia artificial medicine,mimi sijawahi umwa toka nilipokuwa na miaka 5.tumia bangi dawa nzuri sana
Wewe ni MSELA MAVI. Full stop
 
Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    5.5 KB · Views: 6
  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    7.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom