ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

nimezunguka sana tanzania hii na mpaka sasa naendelea kuizunguka. nimefika ktk urban places za kila mkoa

last few weeks nilikuwa hapo arusha. na hii haikuwa mara yangu ya kwanza kufika mji huo. nimefika mara nyingi sana.

ktk miji yote niliyofanikiwa kufika, kwangu jiji la mwanza ndio top-notch. napapenda sana mwanza. pamoja na mambo mengine, navutiwa zaidi na urahisi wa upatikani wa vyakula. ile weather na landscape feature ya jiji la mwanza inanivutia sana,

navutiwa na ubora wake wa nyumba za kupanga. ukiwa mwanza halafu ukapata nyumba/apartment ambayo kwa mwezi utalipa $128 ambayo ni sawa tsh300000, kiubora hiyo ni nyumba ya maaana sana, full funished. kwa bei hiyohiyo arusha, utapata nyumba ya hadhi ya kawaida sana.

i have been planning to make mwanza my second home after i retire.

picha ya google map hapa chini inaonyesha baadhi ya mikoa na sehemu mbalimbali za tz ambazo nimefika.
IMG_20220922_182051.jpg
 
Oyooooooooo Arushaaa Arusha

Arusha

Wacha makelele na matusi
mji gani nchi hii kama Arusha.
Tunapishana na Wawatiiiiii wanapenda marasi arifuuuu

Maji masafii toka Mlima meru yanapita njee kwanguu wapi ntapata hewa swafiii Nchiii hii

Kama sio Arushaaaaaaaaaa arushaaaa
Pigaaaa keleeeee
Oyoooooooo

Ingawa Babu maji ya meru yanaozesha meno sana sijui mmpeta solution

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
nimezunguka sana tanzania hii na mpaka sasa naendelea kuizunguka. nimefika ktk main urban cities za kila mikoa, last few weeks nilikuwa hapo arusha.sikumbuki ni mara ngapi nimefika arusha maana ni mara nyingi sana.

ktk miji yote niliyofanikiwa kufika, kwangu jiji la mwanza ndio top-notch. napapenda sana mwanza. navutiwa zaidi na urahisi wa upatikani wa vyakula. ile weather na landscape feature ya jiji la mwanza inanivutia sana,

navutiwa na ubora wake wa nyumba za kupanga za jiji la mwanza. ukipata nyumba ambayo kwa mwezi utalipa $128 ambayo ni sawa tsh300000, kiubora hiyo ni nyumba ya maaana sana, full funished. kwa bei hiyohiyo arusha, utapata nyumba ya hadhi ya kawaida sana.

i have been planning to make mwanza my second home after i retire.

picha ya google map hapa chini inaonyesha baadhi ya mikoa/sehemu ambazo nimefika ndani tz.
View attachment 2364932
Safi sana mkuu,ndo maana watu wanaotoka mwanza na arusha ni wagumu sana
 
Kwahiyo arusha hakuna mashoga?
Hakuna,kuna siku nilikuwa pale bondeni akapita jamaa mmoja amejifunika kanga kichwani,watu wakaanza shoga hilo shoga hilo jamaa si akakimbia kujiojoa,kuna mtu alitoka dukani kabeba chupa akampiga jamaa ya kichwa,hilo shoga likahamka likawa linakimbia kuelekea sokoni bahati nzuri kulikuwa na gari la police linafanya Doria jamaa ndo akaponea chupu chupu,siwezi nikasema hakuna mashoga kwa ujumla sema yana jificha hotelinidasa sehemu kama ungalimited ndani ndani shoga litaishi vipi
 
Back
Top Bottom