ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Nime ishia apo kwenye ukarimu tu.. chuga watu wana roho za ajabu tu amna watu kule
Labda kama huwajui, wakwere, wazaramo na watu wa pwani. Hapo ndipo makao makuu ya fitna husda, ubaya, uchawi. Ila wao kuongea ya wenzao sasa.
 
Enaboishu.
Enaboishu walikuwa wanavaa sare za shule kama edmund rice sinon sasa mgomvii ukitokea kwenye mpira hawajui wewe ni wa shule gani maana sare zinafana a
Labda kama huwajui, wakwere, wazaramo na watu wa pwani. Hapo ndipo makao makuu ya fitna husda, ubaya, uchawi. Ila wao kuongea ya wenzao sasa.
Hao watu wachawi kinoma,juzi nimekuta shangaa mlangoni kwangu
 
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.

Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.

Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.

Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.

Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.

View attachment 2364815

View attachment 2364816

View attachment 2364817

View attachment 2364818

View attachment 2364819
Watu wa Arusha wakarimu????? Acha kudanganya watu wewe, yamkini utakua ni mtoto mtoto sana
 
images (9).jpeg

Kama vipi bungeni wahi achie huru tu maana nikivuta hii kitu
nitalihamsha ndio kiswahili gani hicho?
Kusepa
 
Oyooooooooo Arushaaa Arusha

Arusha

Wacha makelele na matusi
mji gani nchi hii kama Arusha.
Tunapishana na Wawatiiiiii wanapenda marasi arifuuuu

Maji masafii toka Mlima meru yanapita njee kwanguu wapi ntapata hewa swafiii Nchiii hii

Kama sio Arushaaaaaaaaaa arushaaaa
Pigaaaa keleeeee
 
Uzunguni gymkhana ni poa sana na kule highland nkoaranga nilipenda
Arusha yote kwa ujumlakuanzia usa,majain ya chai,mto wa mbuu,ngulelo,tengeru,sekei,sanawari,kupanda ilboru,mianzini kushuka bondeni,kijenge,ungalimited,moshono,sakina ,mbauda,sinoni,ngusero,uswahilini,mate jo,levolosi,,kote huko ni full ogg
 
Oyooooooooo Arushaaa Arusha

Arusha

Wacha makelele mji gani kama Arusha

Maji masafii toka Mlima meru yanapita njee wanguu wapi ntapata news swafiii Nchiii hii

Kama sio Arushaaaaaaaaaa arushaaaa
Pichaa keleeeee
Waambie
 
Back
Top Bottom