ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Daah, vijana wa Arusha na ile mishati yenu mikubwa kama parashuti na miviatu mikubwa kama meli.....
Aiseee, sijui huwa mnawazaga nini vichwani mwenu.......
Sema nachowakubali wengi ni watu wa amani sana.......
 
Tukiachana na ule usela mavi, ujuaji mwingi na ushamba ambao baadhi ya vijana wa Arusha mnao...
Watu wengi wa ule mkoa ni amani sanaaaa, na wamenyooka kwenye harakati zao.....

Binafsi, nilipokelewa vizuri sana na wenyeji wa ule mkoa hasahasa Massai People.....
Walinipa Zawadi fulani ya shukrani na upendo, hadi leo ninayo nyumbani kwangu ninaendelea kuitunza......
Sema dingii unakosea hivi kwa watu wajanja unaweza kuwafananisha na arusha,kwanza labda nikuuleze arusha vijana wa kule wajanja sana ,wanajitambua sana kule hukuti kijana mwenye umri wa miaka 18 anakaa na wazazi wake rudi sasa huku dar unapopaona mjini unakuta mzee jitu zima lipo kwao,ukiachana na hivyo rudi kwenye kusaka maisha vijana wadogo tu arusha wanamaendeleo yao,arusha wanajitambua sana
 
Tukiachana na ule usela mavi, ujuaji mwingi na ushamba ambao baadhi ya vijana wa Arusha mnao...
Watu wengi wa ule mkoa ni amani sanaaaa, na wamenyooka kwenye harakati zao.....

Binafsi, nilipokelewa vizuri sana na wenyeji wa ule mkoa hasahasa Massai People.....
Walinipa Zawadi fulani ya shukrani na upendo, hadi leo ninayo nyumbani kwangu ninaendelea kuitunza......
Overrated
 
Back
Top Bottom