APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #141
Sikushangai mama samia😄😄😄Wewe ni MSELA MAVI. Full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikushangai mama samia😄😄😄Wewe ni MSELA MAVI. Full stop
Safi watu kama nyie ndo unahitajika kweli kweliArusha, chuga, my home, East or West home is the best, that is Arachuga, jamani Arusha kuzuri sana, kutamu sana, fedha ipo, watu wazuri, hali ya hewa nzuri sana, wasichana warembo sana, wana uzungu mzuri, wairaqw kama waarab vile, au waethiopia warembo sana, warangi, wameru, wazungu, jamani Arusha kutamu sana, mwaaah
Mungu asante kwa Arusha kuwa nyumbani, watu wake are so real, hawana uswahili, wana upendo wa kweli, daima na milele Arusha ni mimi na Mimi ni Arusha. Amen 💋❤😘🙏
@cocastic nasikia umekimbizwa Arusha hukoHakuna,kuna siku nilikuwa pale bondeni akapita jamaa mmoja amejifunika kanga kichwani,watu wakaanza shoga hilo shoga hilo jamaa si akakimbia kujiojoa,kuna mtu alitoka dukani kabeba chupa akampiga jamaa ya kichwa,hilo shoga likahamka likawa linakimbia kuelekea sokoni bahati nzuri kulikuwa na gari la police linafanya Doria jamaa ndo akaponea chupu chupu,siwezi nikasema hakuna mashoga kwa ujumla sema yana jificha hotelinidasa sehemu kama ungalimited ndani ndani shoga litaishi vipi
Dar papaya unakuta mwanaume jitu kubwa linajipaka poda,ndo maana machalii wa chuga hawapendi kukaa dar ,kusema kweli dar papaya sana kwanzA hali ya hewa kama tuko jehanamu,ya nini mateso yote hayo ni bora nikawa chuga home nikafaidi hali hali ya hewa safiVijana wengi kutoka Arusha wakienda kutafuta maisha dar wengi wao wamashindwa maisha, dar siyo wengi kabisa hawajui kushakalika akili zao zimezoea kwao.
Wewe chuga hakuna shogaHalijui hilo!! Machalii wa chuga wameharibika sana siku hizi,ushoga ndo umehamia huko APPROXIMATELY
Acha upumabafu aisee nenda Twitter ukoNASIKIA KUNA CONNECTION MPYA MJINI , PISI IKIINGIZIWA MTARONI WAZEE MWENYE NAYO AJE IN BOX NINA MSIMBAZI HAPA NATAKA IGAWA
Master mbona unaonge mambo ya zamNi sana@rusha ya sasa sio kama arusha ya zamani hata bibi kizee anapaka wanjaArusha hakuna hela .
Arusha uchawi na makafara yamezidi tena watoto wengie wametolewa uhai kipindi ya machimbo ya mawe wake za watu wameacha familia zao kosa pesa .
Arusha maskini wengi maana warusha wachawi kama nini .
Pili hawapendi maendeleo ya watu .
Ukinunua shamba au kisehemu kwako wanakusumbua hadi basi .
Arusha ni mkoa wa ziki kama huamini hama uende mahali pengine dar utafanikiwa kama umefuata hela ilansio mkoa rahisi kihivyoo uchawi ni dili huko kabisa.
Jingine Arusha hakuna hela ukifanikiwa Arusha ni umeaga kwenu
Hujui tu yaliyofichwa kwenye kapeti maisha ya arusha uchawi umezidi nenda pale stendi kubwa fanya research utajua dar na arusha ndio mikoa inayoleta waganga kushinda mikoa mingine jiulize kwaniniMaster mbona unaonge mambo ya zamNi sana@rusha ya sasa sio kama arusha ya zamani hata bibi kizee anapaka wanja
Yani ukiona waganga wapo wengi Town khaa chini jiulize kwanini?utajua kuwa kuna ela nyingi tu,Hujui tu yaliyofichwa kwenye kapeti maisha ya arusha uchawi umezidi nenda pale stendi kubwa fanya research utajua dar na arusha ndio mikoa inayoleta waganga kushinda mikoa mingine jiulize kwanini
Huyu trip zake ni arusha - moshi [emoji28]
Usilolijua ni giza totoro,Abadilishe mazingira atapata mtazamo tofauti
Hakuna,kuna siku nilikuwa pale bondeni akapita jamaa mmoja amejifunika kanga kichwani,watu wakaanza shoga hilo shoga hilo jamaa si akakimbia kujiojoa,kuna mtu alitoka dukani kabeba chupa akampiga jamaa ya kichwa,hilo shoga likahamka likawa linakimbia kuelekea sokoni bahati nzuri kulikuwa na gari la police linafanya Doria jamaa ndo akaponea chupu chupu,siwezi nikasema hakuna mashoga kwa ujumla sema yana jificha hotelinidasa sehemu kama ungalimited ndani ndani shoga litaishi vipi
Sisi watu wa huku ndo maana tunahita United state of arusha,nimuunganiko wa mitaa yote inayopatikana chugah,huku tunajitosheleza kwa kila kitu,tuna vyakula vya kutosha,uchumi wa huku upo vinzuri,watalii wapo kama maembe sokoni,kusema kweli serikali ingefanya arusha iwe inchi inayojitegemea kivyakeMkuu, ninyi watu wa huko asili yenu ni wapi? Hivi ni watanzania ninyi?
Safi mkuu,stend kubwa inajengwa dampo huko arusha chini,ndonitakuwa stendi kubwa africa mashariki na kati,kuhusu vipanya vitapelekwa bush na zitakuja mansion kama ya mwendokasVijana wengi hapo town syo waaminifu yan ukiwauliza tu na walatambua wew ni mgen basi wanakupigia mipango ya kukukaba pia mfanye mpango mpate Stendi ya maana kama ile dom,Dar au Moro maana hyo ya sasa usalama kwa usiku ni mdogo sna kwa ufupi huwez kulala hapo stendi wakat pale dom watu tunalala fresh bila wasi pia mjitahidi muviondoe hvo vipanya a.k.a Hiace na mlete makosta ya kibabu ili yaendane na hadhi ya huo mji wenu.Na mwisho nawapa kongole wadada na mashangazi zenu wanajituma sana katika kutafuta pesa unakuta mtoto mkali mchanga wa maka kabsa lakin hawajali wapo road wanachoma mahindi kwa ufupi wanafanana na hao majiran zenu wa Kilimanjaro ova.
Tusi la kisomiHe who has not traveled widely thinks that his mother is the best cook.
Vice versa is trueTusi la kisomi
Sijazaliwa Arusha, mimi ni wakuja lakini huniambii kitu I love Arusha, Arusha is my cityHakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.
Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele.
Nimezaliwa arusha enzi zile na nikakulia arusha,nikasoma sanawari primary school,sec nikasoma Edmunds rice sinon school,chuo nikasoma mwika college of tourism,pia nimesoma sakina institute of information technology, kwa kipindi chote hicho nilichilokulia Arusha naweza nikasema hakuna sehemu panzuri kama arusha,na feel proud kuzaliwa A.town(Geneva of East africa), maisha ya arusha sio magumu kama watu wanavyosema,kama unauhakika wakupata doo kila siku utahama arusha,watu wa kule wapiga business kweli kama utajichanganya vyema utakosa doo, ukitaka kufanikiwa arusha fanya biashara hiii.
Tafuta viatu vya mtumba mkali, jeans kali makoti makali,shati dog dog og kabisa,makobasi ya maana fungua goli lako maeneo kama sanawari, ilboru, mianzi, sakina, kijenge, sekei na maeneo yaliochangamka.
Watu wa arusha wanapenda kuvaa vinzuri,kama unajua ngeli jichanganye kwenye utalii utajuta hata siku moja.
View attachment 2364815
View attachment 2364816
View attachment 2364817
View attachment 2364818
View attachment 2364819