ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

APPROXIMATELY na wewe umefuga rasta ili uolewe na mizungu maana ndo goli namba moja la machalii wa R.

Watu wanajivunia achievements zao wewe unajivunia your birthplace for such nonsensical reasons. Smh
Achievement zipi ambzo sijafanikiwa nafanya kazi one of the best tour company,namiliki biashara 5,nacompany yangu yakupandisha wazungu mlimani,dar biashara zangu nimefunga juzi tu nazihamishia arusha,kipi sijafanikiwa
 
Sisi watu wa huku ndo maana tunahita United state of arusha,nimuunganiko wa mitaa yote inayopatikana chugah,huku tunajitosheleza kwa kila kitu,tuna vyakula vya kutosha,uchumi wa huku upo vinzuri,watalii wapo kama maembe sokoni,kusema kweli serikali ingefanya arusha iwe inchi inayojitegemea kivyake

Arusha iwe nchi?? Aise umevuka mipaka kijana,

My advice, tembea uone na sio kukaa sehemu moja.
 
Mji ambao hauna bahari au ziwa ni takataka kwangu.
Arusha ni mji wa kifala sana dada zenu wahuni sana hawapo sexy ijapokuwa sura nzuri wanazo.Machalii nao ni wahuni wa kizamani sana ni vijana wa hovyo kuwahi kitokea.
Bahari yanini wakati hali ya hewa ipo vinzuri
 
Achievement zipi ambzo sijafanikiwa nafanya kazi one of the best tour company,namiliki biashara 5,nacompany yangu yakupandisha wazungu mlimani,dar biashara zangu nimefunga juzi tu nazihamishia arusha,kipi sijafanikiwa

Acha mihadarati.

Na wewe umefuga Rasta?
 
Arusha hakuna hela .
Arusha uchawi na makafara yamezidi tena watoto wengie wametolewa uhai kipindi ya machimbo ya mawe wake za watu wameacha familia zao kosa pesa .

Arusha maskini wengi maana warusha wachawi kama nini .
Pili hawapendi maendeleo ya watu .
Ukinunua shamba au kisehemu kwako wanakusumbua hadi basi .

Arusha ni mkoa wa ziki kama huamini hama uende mahali pengine dar utafanikiwa kama umefuata hela ilansio mkoa rahisi kihivyoo uchawi ni dili huko kabisa.

Jingine Arusha hakuna hela ukifanikiwa Arusha ni umeaga kwenu
Kweli Arusha hakuna pesa kuna demu nilikuwa nae yeye alitokea Arusha sasa nikawa nampa pesa alikuwa anashangaa anasema nyinyi tofauti na watu wa Arusha , Arusha wanaroho ngumu hawatoi pesa yani wagumu sana yeye anashangaa watu wa dar ukiwaomba pesa wanakusaidia, anasema Arusha mtu anaweza kukutoa roho kisa 5000 au chakula tu.
 
Mji usio na bahari au ziwa ni takataka?
Watanzania wengi mnaakili za kwendea uani tu
Mji ambao hauna bahari au ziwa ni takataka kwangu.
Arusha ni mji wa kifala sana dada zenu wahuni sana hawapo sexy ijapokuwa sura nzuri wanazo.Machalii nao ni wahuni wa kizamani sana ni vijana wa hovyo kuwahi kitokea.
 
Dog dog si sare ya chuga 😂😂na mibuti yao wanaiita tims wanapigwa hadi 200k, wachuga hawaendi na fashion , ukivaa tofauti na wao wanakustukia,
Palinishinda kabisa yaani wako kushoto na fashion mtu ana mashati ya kama mgambo Yale sijui ya chadema miaka kibao ananunua mara la kaki mara la blue Yale ya Dickies nilicheka wakataka kunimaind kipind iko Kuna vifulana vya shingo V vilikuwa vimeingia tunaita body tight unakuta white sasa ni miaka kama 10 nilishatemana navyo hata nizione siwez kununua ila hao jamaa vile shati za mgambo hata kesho unakuta bado wanavaa
 
Yani hapa mabibo sijui mfaume,mbambadu,banda wote wanangu simuwanzi mtu yeyote,huku asilimia kubwa wanachuo alafu mashoga kibao,yani popote nilipo tanzania naishi fresh tu,sasa wewe njo arusha
Kumbe bado mgeni wa mabibo wewe hayo maeneo ulotaja machache sana kwa mabibo nzima.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini hata uzurure vip ...home sweet home...hata ule vyakula na mapishi mbalimbali...sikuzote chakula alichopika mama ni kitamu.Kusifie kwenu ...mkatas kwao ni mtumwa[emoji12]
Umenena binti
 
images (13).jpeg
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    8.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom