ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Utajivuniaje jambo ambalo wewe hukuwa na maamuzi nalo au kufanya juhudi au jitihada zozote kulifanikisha? Ni sawa na mtu anayesema anajivunia kuwa Muislamu au Mkristo wakati anafuata dini ya Wazazi wake.
 
Maybe wewe unajua lugha,sidhani unaijua lugha kama mimi navyojua,nachoona hapa anataka kujifanya tu

Ukikosea kubali kukosolewa, ili usiendelee na kuchekwa juu.

Ushauri wangu, humu tuliomo asilimia kubwa ni waswahili, sasa hicho kiingereza chako unamlingishia nani!!! Kwahiyo hata ulaya kwenye majukwaa yao/social media huwa wanajadiliana kwa lugha ya kiswahili?
 
Kawaida ya watoto wa dar
 
Naishi Mwanza mjini na ninafanya kazi hapa Arusha mjini mwaka wa 11 sasa.
Nyie vijana kutoka mwanzA tunawakubali sanaila vijana wa dar wanajilegeza sana,au joto linawafanya wawe mlenda,asilimia kubwa mabwabwa
 
Watu wanaoiponda Chuga hawajakaa. Wamepita tu njia!
Mimi siwezi kuishi Arusha bora nikaishi Mwanza kwanza vijana wa Arusha washamba wamezoea kuishi kibinafsi hawajazoe kuishi na Jamii tofauti na jamii yao, halafu hawajui kuvaa.
 
Maybe wewe unajua lugha,sidhani unaijua lugha kama mimi navyojua,nachoona hapa anataka kujifanya tu
Point ya msingi ni kua "best cook" lugha imepanda ndege na kimsingi hauna unachokijua umebakisha ubishi...hakuna neno kama "best cooker"...🤣🤣🤣
 
SIRI Vijana wengi wenye rasta toka Arusha hapa Unguja wanagawa kwa wazungu mpaka aibu
 
Mimi siwezi kuishi Arusha bora nikaishi Mwanza kwanza vijana wa Arusha washamba wamezoea kuishi kibinafsi hawajazoe kuishi na Jamii tofauti na jamii yao, halafu hawajui kuvaa.
Hujalazimishwa,alafu chugah hatutaki wapaka poda,na rangi kuchs
 
Back
Top Bottom