ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Daah, vijana wa Arusha na ile mishati yenu mikubwa kama parashuti na miviatu mikubwa kama meli.....
Aiseee, sijui huwa mnawazaga nini vichwani mwenu.......
Sema nachowakubali wengi ni watu wa amani sana.......
Amani Arusha? Huwajui wakivuta mibangi yao wewe, kwanza lugha yao huwaelewi sijui wanaongea vinini
 
Wanapiga dili haramu tu, kuuza ndumu ndio wanachojua
 
Mibangi hiyo inakuvuruga
 
Ushabwia ugolo lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…