Arusha National Park weekend hii...kama huna plans twende zetu

aaaaahhhh......hii ilinipitaje........mlienda.....?......ilikuwaje........?
 
Aisee where have you been ilikuwa fit sana......

siku nyingine uwe unaniita bana.....mimi kufika chit chat ni kwa nadra sana.......kama leo nimekuja tu kuna mtu nilikuwa namtafuta.........
 
Poa poa....Uwe una tu visit huku pia.......umempata uliye kuwa unamtafuta?
 
Nimempata bana........kumbe mafioso jamaa namna hii........dah.....JF nimeikubali....khaaa!!.......
 
Back
Top Bottom