Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa lakini usiingie mtini kama kawaida yako.
Ukifika Chalinze nibeep rafiki
Ile ban nlojipiga,
Nkaenda zangu Arusha,
Nkakutana na Preta,
Sweetlady Wiselady,
Lily Flower na nani?
Blaki Womani mweupe
Arusha ntarudi tena walah........
Nikanywa na PakaJimmy
Liverpool na Filipo,
Mzee Wa Rula Pembeni
Voice of Reason ikaja
Na mwingine nani tena? Hivi nimesema binamu?
MTK bar na Mianzini
RIP Makaburini,
Shivaz na Picnickini
Kijenge Kaizarini
Kwa Mromboo hatarini.....
Na kwingine wapi tena? Sijasema tripo Ei?
Nikilila tena ban. nikapata na nauli,
Kamwe siendi nyumbani, na kitandani silali.
Arusha nitarudi, nrarudi tena wallah.
Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mungu ibariki Arusha.
Wabariki na watu wake.
Amina.
ODM anarudi kitandani kuzimua
Babu hebu fafanua hiyo bar hapo kwenye bold!!:coffee:
<br />Shambani kwangu Bunju B. Karibu tulime matikiti maji na matango.
Kanuni na masharti ya JF hayaruhusu tafsiri yake....... samahani kama nimekukwaza......
Ngoja niazime na raba mtoni za klorokwini kabisa nikaoshe nyota..... Preta alinibania sana bana....
ha ha ha ha ha haaa actually MTK bar si mchezo!
wewe unakuja lini Arusha?