ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Poa lakini usiingie mtini kama kawaida yako.

hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa!...usijali mkuu,...unajua kazi ya kubrash viatu inanifanya nikose muda wa ku-party....ntalifanyia kazi
 
Ile ban nlojipiga,
Nkaenda zangu Arusha,
Nkakutana na Preta,
Sweetlady Wiselady,
Lily Flower na nani?
Blaki Womani mweupe

Arusha ntarudi tena walah........

Nikanywa na PakaJimmy
Liverpool na Filipo,
Mzee Wa Rula Pembeni
Voice of Reason ikaja

Na mwingine nani tena? Hivi nimesema binamu?

MTK bar na Mianzini
RIP Makaburini,
Shivaz na Picnickini
Kijenge Kaizarini
Kwa Mromboo hatarini.....

Na kwingine wapi tena? Sijasema tripo Ei?

Nikilila tena ban. nikapata na nauli,
Kamwe siendi nyumbani, na kitandani silali.

Arusha nitarudi, nrarudi tena wallah.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mungu ibariki Arusha.
Wabariki na watu wake.
Amina.

ODM anarudi kitandani kuzimua

Babu hebu fafanua hiyo bar hapo kwenye bold!!:coffee:
 
usichoelewa nini sasa?.....anyway_Mtoni Temeke Kuzuri Bar,...ipo maeneo ya mianzini,..totoz za kuhudimia ziko poa
Mkuu utanifanya nichukue emergency leave......
 
<br />
<br />
Asante babu, ntakutafute jioni nikifungulia tunywe mibia,bar gani inafaa mkuu?
Boko Basihaya pale kuna baa inaitwa Ettiennes....... Yule kaunta anaitwa Oddo ukifika mwambie akupe bia kwa bili ya ODM
 
Waneniudhi hawajakupeleka kwa nicky, ukale misamaki ya foil loooo
 
Back
Top Bottom