Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

Inavyo onekana alienda kumkamata huyo mtuhumiwa, kana kwamba anaenda kukamata kuku!

Ona sasa kilichomkuta!! Apumzike mahali panapo stahili.
 
Inaonekana polisi wako wachache sana kwenye nchi hii yenye raia zaidi ya milioni 60
Wengi ni trafic wa barabarani. Kitu ambacho kwenye nchi yenye mipango bora, kililtkiwa kifanywe kwa kiasi kikubwa na mfumo wa Camera na stragegic cordination ya security network katika kuwatia mbaroni waharibifu mabarabarani mara zingine hata wal bila kujua. Hawa wengine wafanye ulinzi halali.
 
Hii haiko sawa kabisa.nadhani ukweli utajulikana.yaani askari polisi alikwenda kumkamata mtuhumiwa usiku akiwa peke yake? Halafu aliyemuua police ni jirani ambaye naye ni jambazi.So huo mtaa ni wa waharifu.Tuelezane ukweli tuu,Hesabu zote zinanigomea hapa
 
Wewe si Mungu?
 
atadakwa tu siku atakayogusa simu tu wanaye ila polisi wana mbinu aisee nimewavulia kofia
polisi wenye mbinu hawa polisiccm, walioweka taaluma mifukoni na kuamua kufanya kazi za siasa.
Ukitaka upate unafuu kutoka polisi uwe na pesa mfukoni
 
Kuna kitu kinafichwa
 
Ugoni huo aisee
 
Safi sana,tukio kama hilo linapotokea kwa hawa askari wa Tanzania ambao wanabambikia watu kesi na kuzuia watu kuexercise haki zao za kikatiba kama vile haki ya kujieleza ni jambo la kheri sana.Nimefurahi sana.
 
Saa tano usiku?alienda kwa lengo la kupokea rushwa huenda muuaji hakumwelewa vizuri
 
Kwanza, pole kwa huyo askari na ndugu zake. Apumzike kwa amani.

Pili, ni kosa kubwa mwa askari kwenda kumkamata mtu ama mhalifu akiwa peke yake na mbaya zaidi usiku. Hii ni hatari sana.

Huu ni uzembe kwa jeshi la polisi. Wahusika wachukuliwe hatua.
 
Tumefika huku kwa uwendawazimu wa sirikali
Ule muda wa kugawana majengo umewadia
sisiem mtavuna mlichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…