ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Usigombane na mwenzako ukigundua sio mwaminifu na una uthibitisho na hasa unapomuuliza anakunyea chukua hatua na sio malumbano.Huyo mwanaume aliyeuawa hana haki kwisha habari yake , wakware wanaendeleza uzinzi wao.Kama jeshi linataka kutenda haki waende kwenye mawasiliano ya hao wakware wakati wanaitana Kuna jambo walipanga lenye kuonyesha nia ya kuua.
 
Polisi na wake za watu..

Sijui shida iko wapi jmn

Wamezidi
 
Askari wenye mafunzo ya kijeshi na wana bunduki wanashindwa vipi ku neutralize raia mwenye panga mpaka wampige risasi ya kifua?

Hii haiingii akilini kabisa kwa mtu mwenye kujielewa.
Askari wenyewe hawa wa siku hizi wenye vitambi, hawawezi kutumia mbinu za kipolisi kumkamata raia zaidi ya kidole kukimbilia fasta kwenye trigger ya bunduki.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Hawara kaua mume halali, eeh Mungu tusaidie,
 
Polisi wamekuwa wauwaji kuna haja ya katiba Mpya pamoja na kuvunja na kuunda upya jeshi la polisi lenye kuwajibika kwa Jamii na cyo kulinda uovu na uhalifu
 
Sawa lakini hapa, kama ni kweli, kuna tatizo kubwa sana la polisi kutumia vibaya madaraka yao, hasa huyo mkuu wa Kituo kusema uongo kwa lengo la kumtetea mwenzake. Bahati mbaya usitegemee hata OCD au RPC kutenda haki.
 
Bora kuachana tu ikiwa hamuelewani.
Hao so ndo mpaka kifo kiwatenganishe?
Waislamu wako vema Sana,hamuelewani,Kila mtu achukue time zake,kwa mfano wangekua Muslim hao,jamaa kashapata fununu anatafuniwa my wife wake na afande,angempa red card Basi,biashara Keisha,
 
Hivi mwanamke mzinifu ni wa kuvumilia? Huyo ni sumu inayouwa ukiona hivyo tafuta mwanamke meingine kwa siri...oa.

Baada ya mwezi mpe taarifa...achague moja taraka au aendelee.

Mwingine akiendelea fanya hivyohivyo
Tatizo hao mpaka kifo kiwatenganishe,wenzetu wa church
 
Askari wenye mafunzo ya kijeshi na wana bunduki wanashindwa vipi ku neutralize raia mwenye panga mpaka wampige risasi ya kifua?

Hii haiingii akilini kabisa kwa mtu mwenye kujielewa.
Jamaa kaua mwenye Mali,ili aendelee kumtafuna huyo manzi
 
Askari yupo sahihi hata kama alikuwa anatembea na huyo Paulina.
Usahihi uko wapi?
Mwanamke alienda kutoa ripoti afisini au kituoni?
I charge aliwaruhusu waende?
Kwenye OB wataandika Nini?
Askari wawili mnashindwa kutumia hekima kumkabili mtu mwenye panga?, Kwa Nini asingepiga risasi juu au mkononi Kama ulikua ni lazima kutumia risasi?
Amelenga kifuani,maana yake ulikua alidhamiria kuua tu
 
To be fair akae ndani Hadi upelelezi wa kesi hii utakapokamilika.
Huyo polisi atahamishiwa mkoa mwingine,Kama Yule polisi mkurya,pale morogoro aliempiga risasi ponda kwenye bega la kushoto kipindi kile, waislamu walianza kumsaka hatimae alihamishiwa kwao tarime.
 
Dah, huyo Askari lazima alogwe na ndugu wa mwanamume.

Kama sio kufa kwa kulogwa basi dhambi itamtafuna aone bora kufa.

Ningekuwa mimi ndo huyo mwanamume, ningemuacha kiroho safi, ningetafuta kabinti kabichi kabisa naoa ndan ya siku tatu.!
Tatizo ndugu zetu wakristo ndoa zao hakuna kuachana,mpaka kifo kiwatenganishe.
Hawawezi kukuelewA katika Hilo,wacha yawakute tu,mpaka akili iwakae sawa.
Hutosikia waislamu imekua hivyo,kwa kuwa nafasi ipo,mmezinguana,Kila mtu kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…