Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi

Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38 wanaohusishwa matukio tofauti ya uhalifu kwenye operesheni iliyofanyika kwa siku tano kuanzia Septemba 5 hadi 10,2022

Ametaja vitu vilivyokamatwa kuwa ni pamoja na Pikipiki 13 zinahusishwa na ushiriki wa matukio ya uhalifu, lita 4 za Gongo, Lilo 70 za Bangi na Laptop 3.
 
Wana acha kukamata Heroine na Cocaine Dar. Wanaishia kukamata hayo majani chai yasiyo lewesha! Nairobi yana uzwa kama mchicha. We miss Commssioner Siang'a kiboko ya mauza unga.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi

Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38 wanaohusishwa matukio tofauti ya uhalifu kwenye operesheni iliyofanyika kwa siku tano kuanzia Septemba 5 hadi 10,2022

Ametaja vitu vilivyokamatwa kuwa ni pamoja na Pikipiki 13 zinahusishwa na ushiriki wa matukio ya uhalifu, lita 4 za Gongo, Lilo 70 za Bangi na Laptop 3.
Sheria zetu zirekebishwe yaani mirungi inafanana na heroine na cocaine na kuwekwa kundi Moja haifai kabisa ,ni sawa mtu anakipato Cha 100000 umkate Kodi sawa na mwenye kipato Cha 1 M
 
Back
Top Bottom