Arusha: Polisi wasema Nabii Abraham Peter alinyofolewa viungo vya sehemu za siri baada ya kuuawa

Duh
They have really killed a prophet!!
The world is approaching to the end.
 
Huyu jamaa mahubiri yake ni very interesting.
Niliumia sana kusikia habari ya kifo chake
 
Unabii na utume hauna tofauti na ujasiriamali, unatoa fursa za kutoboa maishani.
 
Haya manabii ya uongo ni ya kuua. Heri hawa wangeunda genge la kumaliza haya matapeli ya kiroho kama akina Gwajima, Lusekelo, Mwakasenge, Gamanywa, Kakobe na mengine.
Ohoo! Mkuu, umechokoza nyuki! Watajikusanya wakuombee mwezi mzima ugeuke kitimoto!
 
Hahaha

Ila arusha kuna umafiaa

Watu wamemfokonyoa viungu mpaka nabii

Ova
Huyu jamaa namfahamu sana na amefanya sana huduma kanisani kwetu na hata hapo Azania front ameitwa sana kufanya huduma.

Kilichowashtua watu ni jinsi alivyouawa.
Makati yake ni majohe kivule na ndio amezikwa huko.
 
Picha aliyolala kifudi fudi ni wakati wakiwa na wenzie kwenye maombi kwenye huo mlima uliotajwa na kamanda siku moja kabla hajauawa
 
Huyu jamaa namfahamu sana na amefanya sana huduma kanisani kwetu na hata hapo Azania front ameitwa sana kufanya huduma.

Kilichowashtua watu ni jinsi alivyouawa.
Makati yake ni majohe kivule na ndio amezikwa huko.
Aise poleni sana

Kwanini auliwe hivyo ?nini sababu?

I hope polisi watajuwa

Ova
 
nabii anauwa na kiutupwa hahaa , hakuweza kuwaadhibu watesi wake kwa maombi, duh hizi biashara hizi hahaaa
 
Haya manabii ya uongo ni ya kuua. Heri hawa wangeunda genge la kumaliza haya matapeli ya kiroho kama akina Gwajima, Lusekelo, Mwakasenge, Gamanywa, Kakobe na mengine.
Lakini mchango na thamani yao kwenye Jamii ni kubwa kuliko wewe,usiye na msaada hata kwa jirani yako.Wamewahi kukutapeli nn.
Mbona waganga ambao ni worse mara mia kuliko hao ammwatupii vidole.
Waganga wanafarakanisha sana jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…