Arusha: Polisi wasema Nabii Abraham Peter alinyofolewa viungo vya sehemu za siri baada ya kuuawa

Lakini mchango na thamani yao kwenye Jamii ni kubwa kuliko wewe,usiye na msaada hata kwa jirani yako.Wamewahi kukutapeli nn.
Mbona waganga ambao ni worse mara mia kuliko hao ammwatupii vidole.
Waganga wanafarakanisha sana jamii.
Hakuna viumbe nawachukia kama waganga wa kienyeji. Hawa na hao matapeli wa kidini hawana tofauti. Mchango wao ni kuwaibia watu wetu kwa kuwaahidi miujiza au unafuu wakati ni wizi mtupu. Yesu wala Mohamad hawakuwa matajiri. Hawa wanapata wapi kujikweza na kuishi kwenye makasri kama siyo jasho la wajinga wanaowatumia kama wewe?
 
Haya manabii ya uongo ni ya kuua. Heri hawa wangeunda genge la kumaliza haya matapeli ya kiroho kama akina Gwajima, Lusekelo, Mwakasenge, Gamanywa, Kakobe na mengine.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]au wapigwe mawe adharani maana wanachofanya ni kutudanganya kupitia mavitabu yao ya dini......wanapoteza watu sana hawa
 
Uko sahihi. Watu hawawajui hawa "manabii" na huyo "mwalimu" wao Mwakasege ndo kawatia upofu kabisa. Laiti wangalijua!
Huyu mwakanani huyu ndio kawashika masikio wajinga..hupenda kuwafanganya wafausi wake wafanye safari za kwenda kuomba kule israek feki, na bado huwafundisha mafundsho mengi ya uongo uongo, baada ya hapo utawaona hao wafuasi wake wanavyokuwa mazezeta, yaan majiti yasiyojielewa...yasiyo na akili zaid ya kuwaona hao watumish wao kama miungu watu...
 
huyu mwakanani huyu ndio kawashika masikio wajinga..hupenda kuwafanganya wafausi wake wafanye safari za kwenda kuomba kule israek feki, na bado huwafundisha mafundsho mengi ya uongo uongo, baada ya hapo utawaona hao wafuasi wake wanavyokuwa mazezeta, yaan majiti yasiyojielewa...yasiyo na akili zaid ya kuwaona hao watumish wao kama miungu watu...
Hahahahaha mbona una hasira hivyo na Mwalimu Mwakasege mkuu.. toka juzi adi Jumapili yupo Iringa... mfuatilie kwenye YouTube na radio nyingi tu zinarusha semina..kwa TV ni Upendo Television!!

Mwenyewe anasema Mwakasege anamwaga zege!!!
 
Kwani inatakiwa iweje mkuu? Ebu tupe darasa angalau kwa uchache!!
huyo mwakasege wenu mnaemuona mtu wa Mungu nae ni wale wale anawapotosha mengi sana, kwa upofu wenu mtaendelea kumuani mpka lin?

kawadanganya kuhusu taifa la Mungu kuwa ni israel ile ya watu weupe pale middle east, je angekuwa na Mungu kwel angeshindwa kutambua up ukwel?

kawadanganya kuhusu kuomba kwa kutumia damu ya yesu, ktk imani ya kwel hutakiwi kuamini wala kutegemea damu ya kiumbe yeyote yule maana unakuwa sawa na wake waganga wa matambiko wanaohitaji damu kwenye manuiz yao, sas huyu tapel wenu anawafunza kitu gani?

huyu pia hufundisha kuhusu kubariki wale waisrael na kuwaombea, kiundani taifa lenyewe israel hatambui kuwa ni afrika kama historia za kwel znavyoproof, sas yeye na uyo Mungu wake kashindwa kuthibitisha tumuanminije?

huyu pia amekuwa chanzo cha watu kumuabudu yesu badara ya kuwafundisha watu anaepaswa kuabudiwa ni mmoja tu Yaan Muumba wakweli, huyo yesu wake si Mungu na hana sifa ya uungu.

huyo mwalimu wenu pia anakashfa za kumnanilii yule muimbaji maarufu aliefia huko israel mwaka fulani, sas hii nalo linakaaje?

huyo mwalimu wenu amekuwa akipotosha sana biblia bila ya wafuasi wake kujua, yaan ukishakuwa mfuasi wa huyo jmaa jihesabu kama ushakuwa zezeta ama msukule, mimi nina ushahidi wa hawa wafuasi wake wanavyokuwa baada ya kumuamin huyo tapeli.

kuna mengi ya kuwaproov hao matapel, lkn nisipoteze muda kwa kuwaambia tu, kipindi hiki hakuna nabii na hatowai kuwepo tangu wale manabii waliokuwepo kutwaliwa, na hao manabii woote waliishi barani afrika ilipo israel ya kwel ya watu weusi, hayo mashetani yanayowaingia watu wanaojiita manabii ndyo huwapa nguvu za uongo(roho mtakafujo) na ndyo huwatumia hawa manabii kupotosha ukwel wa asili,,

yeyote anaekwambia Mungu anaishi mbinguni huyo ni muongo, je kabla hajaumba mbingu&nchi alikuw wap?

yeyote anaewapa vibendera vya israel fek kuombea na kuviweka majumban kwenu huyo nae tapeli

yeyote anaefundisha mafundisho ya uungu3 huyo nse tapeli

yeyote anesema yesu aabudiwe huyo nae tapeli, kiufupi tu yesu hayupo na hatowai kuwepo, zaid ni uwepo wa pepo azazel/zeus lililobadilishiwa utambulisho huo mwaka 325 during nancea meeting na kumtambulisha zeus mpya kwa jina la yesu, huyu mpuuz aliiba historia ya mzee wetu aliyewai kuish Africa na ndye aliyepaswa kupewa sifa mnazompa huyo zeus wenu, maana huyu mzee wetu aliibiwa historia yake na kuipachika kwa ilo pepo lenu

biblia zenu japo zmechakachuliwa lkn bado znatoa maandiko yanayosema kipnd cha mwsho watu watamsahau Muumba wao na kuabudu makristo ya uongo pamoja na wapinga kristo, wapinga kristo ni watu wa dini zote wanaopinga ukuu wa muafrika, maana muafrika ndye kristo .

ukwel unauma acha uwaume, walokole haya mambo hawayapendi
 
huyo naweza mpiga swali akashindwa lijibu kwanzia yeye pamoja na wajinga wenzake mnaemfuatilia,.kafanikiwa kuwateka wapumbv na wavivu wa kufikil.

mim nlkuwa mfuasi wake, lkn baada ya kuponyoka na kuujua ukwel now namuona tapel tu na hana lamaana ktk jamii
 
Sawa mkuu ngoja niwe mpole ila karibu tufuatilie semina iko hewani muda huu, ili upate kuifahamu ile kweli na hiyo kweli ikuweke huru!!
 
Haya manabii ya uongo ni ya kuua. Heri hawa wangeunda genge la kumaliza haya matapeli ya kiroho kama akina Gwajima, Lusekelo, Mwakasenge, Gamanywa, Kakobe na mengine.
Omba radhi kwa Mzee mwakasege na sio masikini yule kama unavyfikiria mkuu na haombi sadaka vibaka ni kina shika masanja huyu aletoelewa dudu na madogo wengine
 
Uko sahihi. Watu hawawajui hawa "manabii" na huyo "mwalimu" wao Mwakasege ndo kawatia upofu kabisa. Laiti wangalijua!
Yaani kama mwakasege ndio anakula kiulaini kweli maana wengi wanamuona ndio wa ukweli wengine feki
 
Arachuga umafia mwingi, usjifanye mjuaji ukiwa arachuga, usitembee na mke wa mtu ukiwa arachuga, usionee mtu wa arachuga ukiwa arachuga, kama unajambo na mtu wa arachuga elewana naye kwa ustaarabu, ukijifanya mjuaji ndani ya arachuga my friend umekwisha
Umafiaaa mwingi wameu uiga kutoka KNY

Ova
 
HAKIKA UNAPEPO AMBALO LINAKUSUKUMA,KUANDIKA UPUMBAVU KAMA HUU,NENDA KAOMBEWE MKUU,HAUKO SALAMA HATA KIDOGO
 
Kwani inatakiwa iweje mkuu? Ebu tupe darasa angalau kwa uchache!!
Ukisikia mtu anasema kuna miungu wengi ujue huyo siyo mpumbaavu kama asemaye mungu ana nafsi tatu,
Maana asemaye miungu ni wengi muulize hao miungu wengi nafsi zao ni ngapi ? kabla ya kumwona ni mpumbavu ,maana akikujibu .....miungu ni wengi ila nafsi yao ni moja ujue huyo yupo sahihi ,maana mungu kwa uweza wake anaweza kuwa wengi ila nafsi itabaki ile ile moja tu
 
huyu mwakanani huyu ndio kawashika masikio wajinga..hupenda kuwafanganya wafausi wake wafanye safari za kwenda kuomba kule israek feki, na bado huwafundisha mafundsho mengi ya uongo uongo, baada ya hapo utawaona hao wafuasi wake wanavyokuwa mazezeta, yaan majiti yasiyojielewa...yasiyo na akili zaid ya kuwaona hao watumish wao kama miungu watu...
Wewe ukisikia mkristo anakuambia mungu ana nafsi tatu jua moja kwa moja umekutana na mpumbavu
 
huyo mwakasege wenu mnaemuona mtu wa Mungu nae ni wale wale anawapotosha mengi sana, kwa upofu wenu mtaendelea kumuani mpka lin?

kawadanganya kuhusu taifa la Mungu kuwa ni israel ile ya watu weupe pale middle east, je angekuwa na Mungu kwel angeshindwa kutambua up ukwel?

kawadanganya kuhusu kuomba kwa kutumia damu ya yesu, ktk imani ya kwel hutakiwi kuamini wala kutegemea damu ya kiumbe yeyote yule maana unakuwa sawa na wake waganga wa matambiko wanaohitaji damu kwenye manuiz yao, sas huyu tapel wenu anawafunza kitu gani?

huyu pia hufundisha kuhusu kubariki wale waisrael na kuwaombea, kiundani taifa lenyewe israel hatambui kuwa ni afrika kama historia za kwel znavyoproof, sas yeye na uyo Mungu wake kashindwa kuthibitisha tumuanminije?

huyu pia amekuwa chanzo cha watu kumuabudu yesu badara ya kuwafundisha watu anaepaswa kuabudiwa ni mmoja tu Yaan Muumba wakweli, huyo yesu wake si Mungu na hana sifa ya uungu.

huyo mwalimu wenu pia anakashfa za kumnanilii yule muimbaji maarufu aliefia huko israel mwaka fulani, sas hii nalo linakaaje?

huyo mwalimu wenu amekuwa akipotosha sana biblia bila ya wafuasi wake kujua, yaan ukishakuwa mfuasi wa huyo jmaa jihesabu kama ushakuwa zezeta ama msukule, mimi nina ushahidi wa hawa wafuasi wake wanavyokuwa baada ya kumuamin huyo tapeli.

kuna mengi ya kuwaproov hao matapel, lkn nisipoteze muda kwa kuwaambia tu, kipindi hiki hakuna nabii na hatowai kuwepo tangu wale manabii waliokuwepo kutwaliwa, na hao manabii woote waliishi barani afrika ilipo israel ya kwel ya watu weusi, hayo mashetani yanayowaingia watu wanaojiita manabii ndyo huwapa nguvu za uongo(roho mtakafujo) na ndyo huwatumia hawa manabii kupotosha ukwel wa asili,,

yeyote anaekwambia Mungu anaishi mbinguni huyo ni muongo, je kabla hajaumba mbingu&nchi alikuw wap?

yeyote anaewapa vibendera vya israel fek kuombea na kuviweka majumban kwenu huyo nae tapeli

yeyote anaefundisha mafundisho ya uungu3 huyo nse tapeli

yeyote anesema yesu aabudiwe huyo nae tapeli, kiufupi tu yesu hayupo na hatowai kuwepo, zaid ni uwepo wa pepo azazel/zeus lililobadilishiwa utambulisho huo mwaka 325 during nancea meeting na kumtambulisha zeus mpya kwa jina la yesu, huyu mpuuz aliiba historia ya mzee wetu aliyewai kuish Africa na ndye aliyepaswa kupewa sifa mnazompa huyo zeus wenu, maana huyu mzee wetu aliibiwa historia yake na kuipachika kwa ilo pepo lenu

biblia zenu japo zmechakachuliwa lkn bado znatoa maandiko yanayosema kipnd cha mwsho watu watamsahau Muumba wao na kuabudu makristo ya uongo pamoja na wapinga kristo, wapinga kristo ni watu wa dini zote wanaopinga ukuu wa muafrika, maana muafrika ndye kristo .

ukwel unauma acha uwaume, walokole haya mambo hawayapendi
Wapinga Kristo
Kristo anayepingwa ndo yupi?
 
Mtu anajiita master king prophet Hawa no wahuni majina yao wote hayashabihiani na huduma ya kiroho wa Mungu.

Huyu wamemkata dudu lazima aliyumba na mke wa mtu maana Hawa wachungaji feki ni ishu sana.
😂😂😂
 
Wala polisi wasipate shida ya kutumia rasilimali nyingi, haya majamaa yanayojiita manabii ugonjwa wao upo hapa,

"... ambaye hana kanisa na alikuwa akitoa huduma za kinabii katika kanisa lolote au kokote anakoitwa.

Kuna visa vingi sana hawa wanaojifanya kwenda popote kutoa huduma, mfano kinamama wengi ni dhaifu sana, pale wanapofanyiwa ile wanaita unabii uingia kingi na hatimaye huwakaribisha nyumbani mwao hasa baba mwenye nyumba (mume) akiwa hayupo.

Kwa ufupi kuna silence hidden issues behind the curtain zinafanyika na huwenda one of the courses za kifo cha huyo sijui nabii inaweza kuwa imetokana na hilo.
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]au wapigwe mawe adharani maana wanachofanya ni kutudanganya kupitia mavitabu yao ya dini......wanapoteza watu sana hawa
Wanadanganywa..

Hhawana akili au ni mazezeta toka mwanzo?!

Badala ya kusoma ujifunze unataka kusomewa...
 
Lakini mchango na thamani yao kwenye Jamii ni kubwa kuliko wewe,usiye na msaada hata kwa jirani yako.Wamewahi kukutapeli nn.
Mbona waganga ambao ni worse mara mia kuliko hao ammwatupii vidole.
Waganga wanafarakanisha sana jamii.
kuna uhusiano mkubwa wa hawa manabii na wale watu zamani tuliwaita wafanya mazingaombwe! tafakari kwa kina wako wapi wale
 
Back
Top Bottom