Wewe sikia tu kwenye radio na TV; Siku majambazi wakikuingilia nyumbani kwako ...utakuja hapa ukiwa na mawazo mapya!Hii kuua watu,badala ya kuwakamata na kuwapeleka mahakamani imekuwa fashion!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo msanii kma braza k wa futuhiNa kamanda nae alishiriki?namuona amevaa mkanda wa risasi hapo au ni maonyesho tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo wa for four ndo nanHuna akili wewe dogo wa for four. Sio kioa kijana wa Arusha ni jambazi. Na kwa taarifa yako majambazi Arusha sio wote ni wakazi wa Arusha, most of the wanatoka nchi jirani japo kweli kuna wenyeji.
Hiyo picha watakuwa wametumia tu toka maktaba yao.Na kamanda nae alishiriki?namuona amevaa mkanda wa risasi hapo au ni maonyesho tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kuua watu,badala ya kuwakamata na kuwapeleka mahakamani imekuwa fashion!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] itakuwa show off, naona hadi darubini wakati tukio lilifanyika 3:45 usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalijua sanaBlaza kama huelewi kaa kimya utaonekana kituko. Kuna night vision goggles ujue..
Mkuu una uhakika walikutwa na bunduki? Inaelekea bado hujawahi kukutana na uhuni wa polisi wa Tanzania, siwatetei wahalifu ila nitakuwa wa mwisho kuwaamini polisiBunduki wanachinjia kuku?, ukikutwa na Bunduki straight mochwari, kama Rwanda wameweza sisi tulishindwa nn? Tunataka nchi ya usalama sio wengine watafute kwa jasho wengine wajichukulie kiulaini
Sent using Jamii Forums mobile app