Arusha: Polisi waua majambazi watano. RC Gambo atoa pongezi

Arusha: Polisi waua majambazi watano. RC Gambo atoa pongezi

Pongezi kwa walio shiriki kwenye oparation tu ,
 
Bunduki wanachinjia kuku?, ukikutwa na Bunduki straight mochwari, kama Rwanda wameweza sisi tulishindwa nn? Tunataka nchi ya usalama sio wengine watafute kwa jasho wengine wajichukulie kiulaini
Mkuu siku zote nikisikia taarifa za namna hii huwa najiuliza maswali kama uliyouliza, watu wengi sana wanauawa kwenye mazingira kama haya bila hatia yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini maelezo ya polisi wanaowaua wanaowaita majambazi huwa mi yeleyale kila sehemu?
 
Hahahaaaa kamanda shana bhana itabidi tu nijitaid nikaoe kwake huyu kamanda
tapatalk_1580409468390.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nilipokuja kugundua taarifa za polisi ni za uongo ni mwaka 2007 jijini mwanza maeneo ya liberty kulitokea tukio la majambazi kuvamia maduka mida ya saa sita mchana,bahati nzuri polisi walifika na majambazi wale walijisalimisha na silaha zao na waliingizwa kwenye gari la polisi raia tukiwa tunaona.Huwezi amini kwenye taarifa ya habari baadae usiku nashangaa kuona kuwa majambazi watano wameuliwa wakati wakirushiana risasi na polisi!!!! Sitetei wahalifu lakini kwa tukio lile sijawahi waamini polisi mpaka leo,KWA LUGHA NYEPESI TU HUWA HAKUNA CHA MAJIBIZANO YA RISASI WALA NINI BALI HUCHUKULIWA WAKIWA WAZIMA NA KUPELEKWA SEHEMU NA KUPIGWA RISASI, F**k police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa chuga hao...polisi piga sana hao hadi wanyooke.
Huna akili wewe dogo wa for four. Sio kioa kijana wa Arusha ni jambazi. Na kwa taarifa yako majambazi Arusha sio wote ni wakazi wa Arusha, most of the wanatoka nchi jirani japo kweli kuna wenyeji.
 
Siku nilipokuja kugundua taarifa za polisi ni za uongo ni mwaka 2007 jijini mwanza maeneo ya liberty kulitokea tukio la majambazi kuvamia maduka mida ya saa sita mchana,bahati nzuri polisi walifika na majambazi wale walijisalimisha na silaha zao na waliingizwa kwenye gari la polisi raia tukiwa tunaona.Huwezi amini kwenye taarifa ya habari baadae usiku nashangaa kuona kuwa majambazi watano wameuliwa wakati wakirushiana risasi na polisi!!!! Sitetei wahalifu lakini kwa tukio lile sijawahi waamini polisi mpaka leo,KWA LUGHA NYEPESI TU HUWA HAKUNA CHA MAJIBIZANO YA RISASI WALA NINI BALI HUCHUKULIWA WAKIWA WAZIMA NA KUPELEKWA SEHEMU NA KUPIGWA RISASI, F**k police.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iwavyo na iwe, jambazi ni kuua tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom