ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

Hii story nilishangaa, eti mtu kaanguka tu kwenye pikipiki akafa. Post-mortem ifanyike, itaeleza vizuri. Majeraha ya ajali yanajulikana
 
Kifo ni Kifo tu, Amiri Jeshi Mkuu ameshasema.
 
Watanzania ni wajinga sana...
Woga huu ndio unafanya kuwa masikini
 
Kifo ni kifo tu, alisikika kiongozi mkuu wa United Republic of ushenzini.
 
Dah! Naiona mwisho wa samia inakaribia sema upinzani hawajui kuchanga karata zao vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…