Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

Kaziiendelee Tanzania
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kaziiendelee Tanzania na Samia
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Arusha, Arusha
 
AMETOA YEYE AU SERIKALI? HIZO SI KODI ZA WANANCHI?

HIVI HUWA MNAFIKIRIA KWA KUTUMIA MAKALIO?
Bila shaka zimetoa serikali lakini anayeruhusu fedha hizo zitoke ni Raisi anaweza akaamua tu sisitoke Kama ambavyo watangulizi wake walifanya,maana mradi huu ni wa muda mrefu. Kwa hiyo tusimlaumu mtoa mada mbali tuilaumu Katiba yetu. Tuungane kwa pamoja kuhamasisha Katiba mpya.
 
 
jibu zuri sana hili
 
Unamuuliza nani?

Unaulizwa wewe maamuma! Mlipokuwa mkiwaambia wabunge wa upinzani kuwa wakipinga bajeti hawatapelekewa maendeleo majimboni mwao hamkujua kuwa mlikuwa mnazuia wananchi kupata maji? Sio Rais JPM aliyekuwa akiwaambia wananchi “mlikosea kuchagua”? Nani alianzisha msemo “maendeleo hayana chama”. Au masimango ya “si mlichagua upinzani, kawaombeni maji!”

Acha fitina - peleka maji. Sasa CCM iko na wabunge na madiwani! Na mkitoka hapo pelekeni na Mbeya, Iringa, Moshi na pote CCM ilishinda.
 
Arusha mama anawapenda sana,
 
Rais Samia anaipenda sana kaskazini kuliko marais wote waliowahi kuongoza Taifa hili,
 
Badili kwanza ile CHADEMA,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…