Arusha: Rais Samia atoa TZS 520BL sawa na 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka

Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka.​

Uwasilishaji wa mada nikadhani ni Msagasumu amehusika, all in all asante kwa taarifa.
 
Hivi CHADEMA hiyo 520b walitakiwa waitoe wapi? [emoji849]
Mifukoni mwao, nadhani ndiyo hivyo kwani wao hawaongozi serikali. Mleta mada ameiwasilisha sarcastically kwa jinsi nilivyomuelewa.
 
Mifukoni mwao, nadhani ndiyo hivyo kwani wao hawaongozi serikali.
Mleta mada ameiwasilisha sarcastically kwa jinsi nilivyomuelewa.
Chadema huwezi kuelewa hili,
Mmelichezea hilo jimbo miaka mingi,
Kwanini mnakasirika wananchi kupatiwa maji na Rais Samia,

Furaha yenu ni ipi?
 
Hizo pesa ni nyingi sana hujafafanua ni za mradi mmja au? Na zimetoka wapi? Maana 80% ya bajeti sio mchezo..

Anyway congrats kwake,ni vyema tuwe tunafanya vitu kama hivi tukitoka tumetoka.Samia hoyeee.
Umekuja lini mjini? huo mradi nitoka kipindi cha mkwere.
 

Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka.​

Juma Aweso anapiga kazi sana
 
Hongereni kaskazini
 
Mradi huu uliasisiwa na Kikwete mpaka anaondoka haukuisha
Mwezi wa kwanza wa utawala wa Magu akaja kuzindua mpaka anakufa haukuisha
Komedy hii mbovu imehamia kwa Samia.
Fananisha na miradi ya Mwanza,Geita na Chato haikumaliza hata miaka minne ya Magu
Arusha msidanganywe na Changa la macho Hilo waulizeni kwanini hawajengi hospital ya mkoa iliyofanana hata kidogo na za mikoa ya kanda ya ziwa.
Ukiondoa bararabara za mjini zilizojengwa miji yote kwa ufadhili wa benki ya dunia hakuna mradi wa maana Arusha tangu enzi ya Kikwete hadi Samia imebakia hiyo ze Komedy ya maji
 
Mkuu 520BL kweli sio choxhote?
 
Kanda ya kaskazini
 
Daah kweli tuko vizuri
 
Hongera sana jembe Samia tuko na wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…