Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

Mademu wa jambazi Sabaya tulieni kwanza bwana wenu aliwe kiboga kwanza
 
Unasubiri nini kufuata hizo taratibu?
Tusubiri tarehe tajwa tuone hai mashahidi. Àliyefungua kesi ni serikali anayetakiwa kuwaleta mashahidi ni serikali.leo serika li inasema mashahidi hawakufika mahakamani walienda wapi? Walimfukuza kazi na kumfungulia kesi usiyokuwa na ushahidi na mashahidi?
 
Haki ya Mungu akishinda hii kesi raia watamalizana nae uraiani, ameumiza watu wengi sana
Kwani anakosa ganiii?? Tuhuma tuhuma zisizo na ushaidiiii. Hiiii kesi ni sawa na ile ya akina mboweee, lazima ata sabaya atashinda asubuhi na kulipwa fidia ya usumbufuuu. Freedom to sabaya is coming soon
 
anashindaje kesi wakati katiba na sheria zetu hazifai..?...au hazifai mkishindwa?
umenena mkuu.
yaani binaadamu wanafiki hatari,
Mdude ange fungwa jela tunge sema sheria zetu mbovu ohh! mahakama zetu hazitendi haki zinafuata maelekezo!
Mbowe na wenzake wameachiwa, tumeona hivyo hivyo kuwa kuwa mahakama imetenda haki,
leo hii sabaya akikutwa hana hatia akaachiwa huru.....tutaanza makelele ohhh! hakuna haki n.k.
ifike mahala wafuasi wenzangu wa chadema tuache unafiki, tuwe wa kweli, unafiki na uzandiki hautotufikisha mahali popote.
tubadilike sio kila kitu unafuata tu kama upepo.
akili za kuambiwa changanya na zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…