"Arusha sio Tanzania"

Katiba ya JMT inajieleza wazi nini maana ya Tanzania, nani na wapi na ni lini walikuja kutubadilishia hiyo katiba ituoneshe Arusha kuwa sio Tanzania? Au unadhani sote ni vilaza humu?

Namaanisha, kwa muktadha wowote ule labda uwe wa dhahania, Arusha ni Tanzania. Raia wa kigeni watafika hapo kama wageni na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…