"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

hao pimbi ni kawaida yao,arusha ikisifiwa tu huwa wanakuja kutoa povu kwamba mada inahusu ukabila,cha kushangaza wao pia huwa wanasifia kwao lakn watu tunanyamaza tu.
Asante sana hommie. Kiukweli nilibaki mdomo wazi kwa upuuzi nilioukuta hapa.
Kisa tu nilisema mimi ni mzaliwa wa Arusha niliporomoshewa matusi ya nguoni.
Sasa mtu kusema kazaliwa Arusha ni kosa?
Kuna watu wanaharibu maana ya JF,kutoka kwenye mijadala ya hoja hadi matusi.

Sijui kwanini mods wanaentertain hii hali,nashangaa sana.
JF imekuwa kama kijiwe cha walevi!
 
Inaanzia Tanga-Manyara,nimekujibu lkn sijaelewa msingi wa swali lako.
Dah.........Tanga, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Same, Moshi, Rombo,Machame, Marangu, Mtui, Lyimo, Massawe, Urio..............😀😀😀😀😀
''Dhambi ya ubaguzi haiishi'' - JK Nyerere
 
Huyu mleta mada sio mtanzania na thread yake ina ajenda fulani isiyo wazi. Fuatilieni threads anazoanzisha na comments zake.

Huyo jamaa amekuwa akipigia debe sana suala la jumuiya ya Afrika mashariki kwa sababu wameona watanzania wanalipuuza sasa amekuja na hoja ya kipumbavu kabisa. Baadae watasema Kagera na Kigoma sio Tanzania. Tuwe makini na hao watu wa nchi jirani. Huwezi kwenda makao makuu ya UN New York halafu ukasema New York sio Marekani.

Watu aina ya mleta mada ni wa kuwafungulia mashtaka ya uhaini.
Mleta mada anazungumzia uzuri na upeo wa watu wa Arusha . . Hata kisiasa, anasema hawa ni watu wanao jitambua zaidi . .

Haya unayoandika wewe ni porojo zako tuu . . , hakuna hoja kabisa, labda una chuki binafsi nae . .
 
Mkoa uliotusua Tanzania ni Kilimanjaro, watu wa klm ndio wamejenga Arusha na miji yote muhimu.

Nakataa hoja kwamba Arusha sio Tanzania kwa mara nyingine tena.

Nasisitiza Arusha ni Tanzania
Huna haja ya kufanya mashindano ya kitoto . . , inajulikana Arusha iko wapi . .
 
Wazaramo wapo hawawezi kutoka mjini kwenda kukimbilia huko kwenu vijijni. Mnajipa matumaini kwa kuwa mngependa kuona Dar haina wenyewe na inawauma sana kusikia Dar ni ya wazaramo wakati kwenu choka mbaya. Mmejipendekeza kwa Wakenya mpaka mkaawachia wanawake zenu kuja kutafuta maisha mjini kwa kuuza supu,kahawa,kushona viatu,kuuza kitimoto nk. na dada zenu ndio wauza k maarufu na ndio mabarmaid.

View attachment 506980

View attachment 506981

View attachment 506982

This is where you belong brother, you should be proud of where you and your ancestors came from labda siku moja nayo itakuwa kama Dar.
Hapo umewaweza kweli kweli, maana baadhi ya wachaga majidai yamezidi mpaka kichefuchefu!
 
Hizi mada hazijaanza leo, nilianza hata kabla ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika, na ktk waliompa wakati mgumu Nyerere ni hao wajiitao wakaskazini, labda kama hamjasoma kufikia std 7, mnajiua Mareale.

Chakushukuru, Tanga ishajitoa huko zamani, hamko nayo. Ishajiona iko karibu na Pwani kuliko klm. Kwa mwenye kutumia akili japo kidogo tu, lazima azikatishe tamaa hizi hulka zenye mchoyo na ubinafsi na kujisikia mnazozijenga. Utaifa kwanza.

Iwe imeanzishwa na mkenya au myunani, ila wakaskazini memuunga mkono, hilo tu ni kosa.

Tanzania kwa sasa inahitaji mshikaano kupita vipindi vyote, utaifa umeshashamiri. Hizi mbegu za magugu lazima zing'olewe mapema sana. Ndio maana kuna mambo hayaendi, na hayataenda kisiasa haswa ya vyama vingi kwa hulka kama hizi. Lazima zing'olewe fasta.
Acha ujinga wee dogo . . , kusifia Kask ni kuendeleza ukabila . . ? Kwanza unajua idadi ya makabila yaliyoko Kask . . ?!

Kaskazini kuna makabila mengi tuu, kuna Wamasai, Wameru, Wambulu, Waarusha, Wachagga, Wapare . .
Hawa ni Watanzania, ila kinachosifiwa hapa ni weledi wao, uchapa kazi wao, maendeleo wanayofanya . . , tena kila kona ya Nchi hii .
Sasa kuna ubaya gani kusifu Watanzania wenzako wanao onyesha mfano wa kuigwa ktk maendeleo na elimu . . ?!

Acheni wivu wa kijinga . .
 
Nipo Arusha Florida 2000 tunacheza hadi asubuhi, patamu hapa kama kuna WanaJF maeneo haya usiku wa leo tukutane kwenye PM tujuane na kukutana ili tucheze na kuburudika wote.
Vp umeshaondoka A town? Niko galaxy hapa jiran na Kwa sunda
 
Wazaramo wapo hawawezi kutoka mjini kwenda kukimbilia huko kwenu vijijni. Mnajipa matumaini kwa kuwa mngependa kuona Dar haina wenyewe na inawauma sana kusikia Dar ni ya wazaramo wakati kwenu choka mbaya. Mmejipendekeza kwa Wakenya mpaka mkaawachia wanawake zenu kuja kutafuta maisha mjini kwa kuuza supu,kahawa,kushona viatu,kuuza kitimoto nk. na dada zenu ndio wauza k maarufu na ndio mabarmaid.

View attachment 506980

View attachment 506981

View attachment 506982

This is where you belong brother, you should be proud of where you and your ancestors came from labda siku moja nayo itakuwa kama Dar.
Yeah tunapapenda pia kweli kweli hata USA haina maana kila sehemu ni maghorofa zipo sehemu za kawaida.
Trust me wenyeji kwenye hizi nyumba hapo huwezi ends wahonga vitenge au buku 7 katu.
Je unajua heshima ya mbegge?
Haaa haa usitokwe povu mkuu hio ni Tanzania na sio pengine.
 
Acha kujidanganya...kuna mchaga mwengine katika uzi huu amesema wao ndio wamejenga Arusha. Kuna uzi mwingine kuna mwengine kasema wamejenga Mwanza na mwengine Dodoma na sasa wewe unasema eti wamejenga Dar! Acheni kujipachika mbeleni kwa kujipendekeza kwenye miji ya watu.
Mchaga atabaki kuwa mchaga na kwao kutakuwa huko kijijini Kilimanjaro kamwe hawezi pata status ya Mdar es salaam. Mngejenga huko uchagani ndio tungeamini badala yake kuna mapori ya migomba na kahawa.
Katika makabila yalichelewa kuja mjini ni wachaga. Walianza kuja baada ya miaka ya 1998 kabla ya hapo kulikuwa na watu wachache wa makabila ya wamakonde,wanyamwezi na wamanyema ambayo ndio yana long history ya kuja mjini miaka mingi. Hata hivyo influence yao ilikuwa ndogo. Dar imejengwa na Wadar es salaam wenyewe na wanazidi kuitanua kwa sababu sio rahisi Mzaramo, mkwere au Mndengereko kwenda kujenga huko kwenu vijijini. Na wanaendelea kutanua miji yao mpaka Pwani.

Acha kujidanganya...kuna mchaga mwengine katika uzi huu amesema wao ndio wamejenga Arusha. Kuna uzi mwingine kuna mwengine kasema wamejenga Mwanza na mwengine Dodoma na sasa wewe unasema eti wamejenga Dar! Acheni kujipachika mbeleni. Mngejenga huko uchagani ndio tungeamini badala yake kuna mapori ya migomba na kahawa.
Katika makabila yalichelewa kuja mjini ni wachaga. Walianza kuja baada ya miaka ya 1998 kabla ya hapo kulikuwa na watu wachache wa makabila ya wamakonde,wanyamwezi na wamanyema ambayo ndio yana long history ya kuja mjini miaka mingi. Hata hivyo influence yao ilikuwa ndogo. Dar imejengwa na Wadar es salaam wenyewe na wanazidi kuitanua kwa sababu sio rahisi Mzaramo, mkwere au Mndengereko kwenda kujenga huko kwenu vijijini. Na wanaendelea kutanua miji yao mpaka Pwani.
Inakuuma ukiwa mmoja wa mzaramo eeh?
Tumechangia karibia 57% ya maendeleo hayo acha ubishi
 
Asante sana hommie. Kiukweli nilibaki mdomo wazi kwa upuuzi nilioukuta hapa.
Kisa tu nilisema mimi ni mzaliwa wa Arusha niliporomoshewa matusi ya nguoni.
Sasa mtu kusema kazaliwa Arusha ni kosa?
Kuna watu wanaharibu maana ya JF,kutoka kwenye mijadala ya hoja hadi matusi.

Sijui kwanini mods wanaentertain hii hali,nashangaa sana.
JF imekuwa kama kijiwe cha walevi!
Kawaida ya makolomije ambao wazee wao waliishia kuzaa tu na kucheza bao.

Wasikutishe hommie....!
 
Nipo Arusha Florida 2000 tunacheza hadi asubuhi, patamu hapa kama kuna WanaJF maeneo haya usiku wa leo tukutane kwenye PM tujuane na kukutana ili tucheze na kuburudika wote.
Hahaha...haya maneno yanaumiza washamba washamba wa huko kolomijeni [emoji23]

I wish I could be there ningejoin hapo Florida.
 
Vp umeshaondoka A town? Niko galaxy hapa jiran na Kwa sunda

Jameni nimeondoka mkuu nikiwa hoi hata kutembea noma, tumecheza kwaito na aina nyingi za muziki ukiwemo ule wa Kigoma all stars. Yaani nimetua Nairobi kama sina nguvu, Arusha hapo balaa, yaani raha tu mpaka basi. Nikija tena nitakushtua inbox tuserebuke.
 
Back
Top Bottom