Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Asante sana hommie. Kiukweli nilibaki mdomo wazi kwa upuuzi nilioukuta hapa.hao pimbi ni kawaida yao,arusha ikisifiwa tu huwa wanakuja kutoa povu kwamba mada inahusu ukabila,cha kushangaza wao pia huwa wanasifia kwao lakn watu tunanyamaza tu.
Kisa tu nilisema mimi ni mzaliwa wa Arusha niliporomoshewa matusi ya nguoni.
Sasa mtu kusema kazaliwa Arusha ni kosa?
Kuna watu wanaharibu maana ya JF,kutoka kwenye mijadala ya hoja hadi matusi.
Sijui kwanini mods wanaentertain hii hali,nashangaa sana.
JF imekuwa kama kijiwe cha walevi!