V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 528
MombasaHahaha... mji wa wapaka poda ni upi tena??? Wanapaka wapi poda??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MombasaHahaha... mji wa wapaka poda ni upi tena??? Wanapaka wapi poda??
Kwanini wewe ulilazimisha kuamini hivyo?Husilazimishe kujibiwa au kuniwekea jibu unavyotaka wewe. Jibu si hilo [emoji117] " Nimebahatisha kutokana na jinsi unavyo waongelea mashoga mno! Kwahiyo nika reason kwamba wewe uliachwa na shoga kwa sababu kadude hakikumtosheleza katika kinyesi."
[emoji23]
Inaanzia Tanga-Manyara,nimekujibu lkn sijaelewa msingi wa swali lako.Dah.... Kaskazini inaanzia Wapi Chief? [emoji13] [emoji13]
Atakuwa ni mganda au mnyarwanda.huyu ni kenya people......yakwao yanawashinda kaja kuropoka huku
Inawezekana umechanganyikiwa na kuachwa na mashoga wewe. Naona hii issue ya ushoga umeivalia njuga! Wewe endelea nao kama unapenda kinyesi. I wish you all the best.Kwanini wewe ulilazimisha kuamini hivyo?
Kwanini unabahatisha usiyoyajua?
Suala la kujua dushe la mwanaume lisiloridhisha alipaswa aseme mwanamke ama shoga.
Kwanini nisishangae wewe kusema hayo?
Kwa sasa unaishi wapi mkuu?Hahahaaaaa mimi ni zao la Mt. Meru mkuu,very proud.
Hii ni Id mpya,Mada inazungumzia Arusha, lakini watu wengi ambao cyo wa Kaskazini wameingia moja kwa moja kutukana Wachaga (watu kutoka Kilimanjaro), cha ajabu uzi hajaanzisha mchaga. Ina maana kwamba mchaga anaishi na kufanya maendeleo Arusha na Kilimanjaro pekee?! Mtu yeyote kutoka kabila lolote unachukia Wachaga kama kabila ilhali wao hawakuchukii wewe, una wivu juu ya watu hawa. Hakuna acyejivunia kwake. Tena hapohapo ulipo kuna mchaga, kama ww cyo mnafiki anza nae huyo mmoja mweleze kisa cha chuki zako.
Mara zote huwa nasoma comments zako mpaka mwisho. Huwa napata kitu kutoka kwako.Hivi kwanini jf kila uzi unaharibiwa na walio kinyume? Mjinga anaweza leta uzi wa kijinga kwa ujinga wake, werevu wamsaidie. Jf? Mi napaheshimu sana hapa, kuna watu wengi wenye mawazo chanya ktk kila idara, tumsaidie. Anaweza akabadilika akawa mtu poa kwa mawazo na misimamo yetu, tuwasaidie hawa watoto, najua wako humu pia na ni jukumu kwa waliopevuka kuwasaidia.
Mwenye akili na ni mtanzania angeweza je kuleta uzi kama huu huku akijua kwamba kwa uchumi wa sasa hivi hata Nairobi inaitegemea Dar, wa Arusha wangapi wako mikoani na kuwepo kwao huko ndiko kuifanyao Arusha kuwa ilivyo leo? Kwani maasai kwao ni wapi? Hawa ni watoto, si kiumri bali kifkra tu. Tuwasaidie, tuwarufishe kwenye mstari, uwezo wao wenyewe ni mdogo sana tuwasaidie, wengi vyakula vyao kwa asili ni protini tu, vinajenga miili tu, si vinginevyo.
U don need to wish me the best of anything broh....Inawezekana umechanganyikiwa na kuachwa na mashoga wewe. Naona hii issue ya ushoga umeivalia njuga! Wewe endelea nao kama unapenda kinyesi. I wish you all the best.
Inawezekana hata wakisoma hawatanielewa, ila cha kushukuru hata kama tumebaki wawili tu wa kuujua ukweli wa kitaifa, bado tuko na tutasimama imara hadi mwisho. Hatutayumbishwa na lolote lile. Tz kwanza, KWELI kwanza.Mara zote huwa nasoma comments zako mpaka mwisho. Huwa napata kitu kutoka kwako.
You are blessed with inspiration,
Ningetamani na Vijana wengine wasome posts zako,
Mungu aendelee kukuweka, tunahitaji kujengwa na Mawazo ya Watu kama nyie.
sa povu lanini ww ngoshaa..mi nilikua natania tuuu ila kweli ingewezekana ...tungeunda jamhuri yetu tu ya mlima kilimanjaro.. ninyi c hamtutaki bana..mnatuita wapiga dili..si kosa ninawaza tuu kwa sauti..ila ni utani najua haitawezekana wala hatutakWacha chuki na ukabila wewe. Ukabila ndiyo ulipigwa vita na Nyerere. Kama si nyerere haya makabila ya wahaya na wachaga wangeleta matatizo sana Tanzania.
Angalia Kenya na Uganda mpaka leo wanasumbuliwa na ukabila.
Nyiye wachaga wakina mangi mnafikiri mna own Tanzania, unaleta upumbavu hapa.
dodomsHahahaaa mji wa wapaka poda ndio upi?
tembea uone tofautiUnakurupukaga sana na wewe, unatuletea mambo yako ya ukenya hapa, hata hukumwelewa mleta mada...
Kwa taarifa yako pamoja na changamoto zilizopo kanda ya Kati na Magharibi, Tz imebalance maendeleo pande zote..
Kusini, magharibi na Kaskazini kote kuko poa
sa si afafhali kuliko wale waliotuletea misuli na majamviHiyo yote sababu mlikubali kulamba miguu ya wazungu kwa kukumbatia ukatoliki wao.
waje tuu c tutawapa michongoHatusikilizi maneno yenu ya kwenye vijiwe vya kahawa ramani tu, angalie wakenya mbeleni watapiga vita juu yetu ili waitwae Arusha.