"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Naona watu wa Kilimanjaro, Arusha na Nairobi mmeungana na lengo lenu kuichimba Dar es Salaam na watu wa Pwani...acheni wivu vijana aliyetangulia ameshatangulia cha msingi mjipange mrudi na mjenge makwenu ili miji hiyo ifikie standard za Miji na ustarabu wa Pwani.
No offense just reality.
ustaaran wa pwani..hahaha..kuvaa misuli na kushinda kwenye bao au? na chuma ulete kwa saaana. hata kujengeka unakosema cheki walioijenga dsm ni watu wa wap...
 
Ila tuseme ukweli wanaokimbiza Dar ni watu wa kaskazini.
hata wazaramo wanajua..kila pazur nipa kaskazn..wenyeji wanazd kukimbia jiji kila kukicha
Mwenyewe kama mtanzania ningesapoti tupewe pwani nzima ya Afrika Mashariki ila ukweli ni kwamba Kenyans value their coast kuliko Arusha kwani Arusha mnawapelekea nini mpaka wakubali kutoa pwani yao?
 
Mleta mada ana hoja nzuri ila si ndivyo tunavyodhani
 
Mkuu hiyo Dar imejengwa na watu wakuja hasa Wachagga,

Wazaramo,Wakwere na Wandangereko Hamna chenu tena inazidi kuwa historia.
Acha kujidanganya...kuna mchaga mwengine katika uzi huu amesema wao ndio wamejenga Arusha. Kuna uzi mwingine kuna mwengine kasema wamejenga Mwanza na mwengine Dodoma na sasa wewe unasema eti wamejenga Dar! Acheni kujipachika mbeleni kwa kujipendekeza kwenye miji ya watu.
Mchaga atabaki kuwa mchaga na kwao kutakuwa huko kijijini Kilimanjaro kamwe hawezi pata status ya Mdar es salaam. Mngejenga huko uchagani ndio tungeamini badala yake kuna mapori ya migomba na kahawa.
Katika makabila yalichelewa kuja mjini ni wachaga. Walianza kuja baada ya miaka ya 1998 kabla ya hapo kulikuwa na watu wachache wa makabila ya wamakonde,wanyamwezi na wamanyema ambayo ndio yana long history ya kuja mjini miaka mingi. Hata hivyo influence yao ilikuwa ndogo. Dar imejengwa na Wadar es salaam wenyewe na wanazidi kuitanua kwa sababu sio rahisi Mzaramo, mkwere au Mndengereko kwenda kujenga huko kwenu vijijini. Na wanaendelea kutanua miji yao mpaka Pwani.
Mkuu hiyo Dar imejengwa na watu wakuja hasa Wachagga,

Wazaramo,Wakwere na Wandangereko Hamna chenu tena inazidi kuwa historia.
Acha kujidanganya...kuna mchaga mwengine katika uzi huu amesema wao ndio wamejenga Arusha. Kuna uzi mwingine kuna mwengine kasema wamejenga Mwanza na mwengine Dodoma na sasa wewe unasema eti wamejenga Dar! Acheni kujipachika mbeleni. Mngejenga huko uchagani ndio tungeamini badala yake kuna mapori ya migomba na kahawa.
Katika makabila yalichelewa kuja mjini ni wachaga. Walianza kuja baada ya miaka ya 1998 kabla ya hapo kulikuwa na watu wachache wa makabila ya wamakonde,wanyamwezi na wamanyema ambayo ndio yana long history ya kuja mjini miaka mingi. Hata hivyo influence yao ilikuwa ndogo. Dar imejengwa na Wadar es salaam wenyewe na wanazidi kuitanua kwa sababu sio rahisi Mzaramo, mkwere au Mndengereko kwenda kujenga huko kwenu vijijini. Na wanaendelea kutanua miji yao mpaka Pwani.
 
Hakuna kabila utasema ndo lenye dar, Dar ni ya wote, wazaramo washasepa siku nyingi

Hamna mzaramo anayekaa hayo maeneo, wazaramo wapo sana, buguruni, tandika, tandale, magomeni

hata wazaramo wanajua..kila pazur nipa kaskazn..wenyeji wanazd kukimbia jiji kila kukicha

ustaaran wa pwani..hahaha..kuvaa misuli na kushinda kwenye bao au? na chuma ulete kwa saaana. hata kujengeka unakosema cheki walioijenga dsm ni watu wa wap...
Wazaramo wapo hawawezi kutoka mjini kwenda kukimbilia huko kwenu vijijni. Mnajipa matumaini kwa kuwa mngependa kuona Dar haina wenyewe na inawauma sana kusikia Dar ni ya wazaramo wakati kwenu choka mbaya. Mmejipendekeza kwa Wakenya mpaka mkaawachia wanawake zenu kuja kutafuta maisha mjini kwa kuuza supu,kahawa,kushona viatu,kuuza kitimoto nk. na dada zenu ndio wauza k maarufu na ndio mabarmaid.

image3.jpg

mt+kilimanjaro+-+mmg.jpg

House-in-Masoko-Village1.jpg

This is where you belong brother, you should be proud of where you and your ancestors came from labda siku moja nayo itakuwa kama Dar.
 
Na hata kama Dar ingekuwa imejengwa na wakuja toka kaskazini, hiyo haiwapi status nje ya utanzania kuwa ya wakaskazini, una nyumba na kitega uchumi Dar, na kujitanua nacho, kwakuwa sote ni watanzania, nje ya hapo we ni wakuja na ni lazima upajue kwenu ni wapi?

Ikumbuke ile kauli ya Mizengo juu ya wamasai, "kwani wametoka wapi" . Ktk watu ambao walitakiwa wawe waungwana na kuulinda huu utaifa kwa dhati, kama wangekuwa na japo na akili na vibusara kama vya mbwa ni wakaskazini, ndio wenye kunufaika sana. Nje ya hapo, kwenu pangenuka. Nanyi, kama wasukuma mnajizalia bila mpango na maeneo lenu kafinyu.

By the way, Tz ni moja na soon hakutakuwa na kabila wala ukanda, kila mtz atakuwa yuko mixed kikanda, kikabila na hata kidini, si unasikia kuna chotara wa kichaga na kinyakyusa? Nadhani, wakizaramo ndo wamejaa uchagani, si mwazijua sifa zao kwa mabinti na makaka wakizaramo? Ktk kuunda viumbe, kaka au dada wa kichaga, haruki kwa mzaramo, wanabuluzwa hadi wake za watu, Inawezekana hata mleta mada angemuuliza vyema bimkubwa, angemwambia ni bini Mwenyemvua si Bwashehe.

Hiyo ndio Tanzania ilipofikia, sema Rombo ni mbali na wazaramo hawapendi kutembea, hawana shida kwao yakuwafanya wawe wazurulaji, wangezikimbilia fursa za Rombo, si lazima wavuke border warembo kwa kirombo, nakumbuka miaka ile ya urombo ikimaanisha ushamba, nadhani ndo miaka ya wachaga kuanza kuingia mjini, warombo. Ar is klm and klm is Ar.
 
Hizi mada hazijaanza leo, nilianza hata kabla ya uhuru wa iliyokuwa Tanganyika, na ktk waliompa wakati mgumu Nyerere ni hao wajiitao wakaskazini, labda kama hamjasoma kufikia std 7, mnajiua Mareale.

Chakushukuru, Tanga ishajitoa huko zamani, hamko nayo. Ishajiona iko karibu na Pwani kuliko klm. Kwa mwenye kutumia akili japo kidogo tu, lazima azikatishe tamaa hizi hulka zenye mchoyo na ubinafsi na kujisikia mnazozijenga. Utaifa kwanza.

Iwe imeanzishwa na mkenya au myunani, ila wakaskazini memuunga mkono, hilo tu ni kosa.

Tanzania kwa sasa inahitaji mshikaano kupita vipindi vyote, utaifa umeshashamiri. Hizi mbegu za magugu lazima zing'olewe mapema sana. Ndio maana kuna mambo hayaendi, na hayataenda kisiasa haswa ya vyama vingi kwa hulka kama hizi. Lazima zing'olewe fasta.
 
Wazaramo wapo hawawezi kutoka mjini kwenda kukimbilia huko kwenu vijijni. Mnajipa matumaini kwa kuwa mngependa kuona Dar haina wenyewe na inawauma sana kusikia Dar ni ya wazaramo wakati kwenu choka mbaya. Mmejipendekeza kwa Wakenya mpaka mkaawachia wanawake zenu kuja kutafuta maisha mjini kwa kuuza supu,kahawa,kushona viatu,kuuza kitimoto nk. na dada zenu ndio wauza k maarufu na ndio mabarmaid.

View attachment 506980

View attachment 506981

View attachment 506982

This is where you belong brother, you should be proud of where you and your ancestors came from labda siku moja nayo itakuwa kama Dar.
What a wonderful weather condition
 
uzuri unatoa povu huku ukijua unachoongea sicho halisi...tembea mazeee acha bla bla za kiswahili..nenda uchagani uone mijengo ya kisasa..katikati ya migomba lakini magorofa si ya kitoto..acha kuishi kwa hisia tatizo unachukua kulivyo kwenu mwanaremango ukadhani ndivyo vjji vyote vinafanana. kubali tuu wenzetu hawa wametuacha hata kama wamefika mjini mwaka jana. tatzo sisi tumekumbuka shuka tayar kumekucha..wao washajizoelewa mitaa ile pendwa..nenda masaki au mbezi ukimkuta mzaramo ujue anaish nyumba za serekal au ni house girl wa mchaga au mhaya.
 
Mleta mada ana hoja nzuri ila si ndivyo tunavyodhani
THANK YOU!
Finally someone gets it!
I don't know how mambo ya ukabila na ukanda yameingia humu!
Waafrika tubadilike kwa kweli duuuh!
 
Ndoo maana tunasema kila siku ni ngumu kiongozi mkuu wa nchi kutokea maeneo Haya. Maana mijitu inawaza ukabila 24 hours
we ndo unawaza ukabila na hao pimbi wenzako,mada yyte inayohusu arusha huwa mnaleta makalio yenu kuchangia mkiwa mnawaza ukabila,mbona nyie mnasifia mwanza kila siku watu tumepiga kimya tu ila arusha ikisifiwa tayar imekua ukabila.
 
Kuna watu wanakereka wakiona kaskazini wanapewa credit mpaka mnakera jamani kwani kaskazini sio sehemu ya Tanzania na ukimtambua mtu aliyetangulia ndio kuna kufanya uwe maskini zaidi?

Ni ukweli usiopingika kaskazini ilishaendelea miaka mingi hata kabla ya uhuru na bado inapaa zaidi
 
THANK YOU!
Finally someone gets it!
I don't know how mambo ya ukabila na ukanda yameingia humu!
Waafrika tubadilike kwa kweli duuuh!
hao pimbi ni kawaida yao,arusha ikisifiwa tu huwa wanakuja kutoa povu kwamba mada inahusu ukabila,cha kushangaza wao pia huwa wanasifia kwao lakn watu tunanyamaza tu.
 
Back
Top Bottom