Arusha: Sita wafariki ajali ya Lori, Noah

Hii ajali imeclaim maisha ya kabinti kazuri nakaona kanasikitikiwa huko fb. RIP
 
RIP kwa wote waliotangulia mbele ya haki na majeruhi wote wapate quick recovery, tusikimbilie kwenye majibu rahisi, tatizo kubwa barabara zetu bado zipo duni mno, finyu mno,na magari mengi hayana sifa za kuwa barabarani
Traffick wakikamata wabongo tunaleta majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…