Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu.