KERO Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi

KERO Arusha; Taa za kuongoza magari zina zaidi ya mwezi mmoja hazifanyia kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
ARUSHA inatakiwa kupasuliwapasuliwa barabara nyingi sana

kama hii barabara ya moshi arusha inapaswa kua ya njia nane kuanzia moshi
 
Kama mmeweza kusurvive muda wote huo bila kuwepo , basi hiyo huduma tunaweza kusema ni redundant
 
Zimeondoka na Makonda?

Unashangaa taa hushangai mkuu wa mkoa karibia mwezi hafanyi kazi huko?
 
Hapa issue ni taa kweli!! Au una hoja na anayevuka?
1723690753508.png
 
Back
Top Bottom