Ni sehemu yenye umuhimu sana wa hizo taa za kuongozea au mnajidekeza tu?Wakati hazipo ilikuaje?Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu.
View attachment 3068212View attachment 3068214View attachment 3068217View attachment 3068220
Ukiangalia hapo friends corner round about itawekwaje hapoWaweke roundabout ndio dawa yake
Lazima waje na idea nzuri si wataalamu wapoUkiangalia hapo friends corner round about itawekwaje hapo
Hiyo ni sola sio umeme umeangalia vizuri kwa juu au hujui solarLazima waje na idea nzuri si wataalamu wapo
Au waweke za solar kama umeme shida
Solar za taa zipo aina nyingi sana na hizo naona ni made in tzHiyo ni sola sio umeme umeangalia vizuri kwa juu au hujui solar
NYuma sana nikiwa shule ya msingi 1998 to 2001Solar za taa zipo aina nyingi sana na hizo naona ni made in tz
Solar ya kwanza ilibuniwa mwaka 1881 na mmarekani
Niambie wewe solar umeijua lini? Be honest sweety
DaaNYuma sana nikiwa shule ya msingi 1998 to 2001
Na wajukuu ndio wanakuchoma sindano ukienda hospitali, na wajukuu ndio michepukoDaa
Primary nilianza 1965 la kwanza
Acha tuwe tunabishana na wajukuu tu humu π π€£ π
Kumbe leo nimeuliza wanatumia mabetri yanayochajiwa na umeme labda hayo yamezima ziiSolar za taa zipo aina nyingi sana na hizo naona ni made in tz
Solar ya kwanza ilibuniwa mwaka 1881 na mmarekani
Niambie wewe solar umeijua lini? Be honest sweety
Wajukuu kama wajukuuNa wajukuu ndio wanakuchoma sindano ukienda hospitali, na wajukuu ndio michepuko
Yaani mpaka serikali wanaagiza ya mchina fekiKumbe leo nimeuliza wanatumia mabetri yanayochajiwa na umeme labda hayo yamezima zii
NdiooYaani mpaka serikali wanaagiza ya mchina feki
Eh ila wewe mie sio mjukuu wako wewe nikama kaka kwangu tuWajukuu kama wajukuu