SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 3,109 Reaction score 6,323 Aug 15, 2024 #41 Black Sniper said: Huyo baba yako sio wewe Basi na mimi atakuwa kaka tu π Baba wa 1922 ana mtoto wa miaka ya 90 safi sana π Click to expand... True baba yako alioa akiwa na 50
Black Sniper said: Huyo baba yako sio wewe Basi na mimi atakuwa kaka tu π Baba wa 1922 ana mtoto wa miaka ya 90 safi sana π Click to expand... True baba yako alioa akiwa na 50
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 3,109 Reaction score 6,323 Aug 15, 2024 #42 mnengene said: Nimecheka sana hata mimi yaani nyuma sana yupo primary 2001 mimi binafsi mdogo wangu wa mwisho huo mwaka 2001 yupo form 5 Click to expand... Aisee hongereni aisee
mnengene said: Nimecheka sana hata mimi yaani nyuma sana yupo primary 2001 mimi binafsi mdogo wangu wa mwisho huo mwaka 2001 yupo form 5 Click to expand... Aisee hongereni aisee
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Aug 15, 2024 #43 SweetyCandy said: True baba yako alioa akiwa na 50 Click to expand... Una maana baba yako Hapo sawa
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Aug 15, 2024 #44 Aibu sana Ngozi nyeusi mpaka wapelekeshwe Ova
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Oct 13, 2024 #45 Bushmamy said: Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu. View attachment 3068212View attachment 3068214View attachment 3068217View attachment 3068220 Click to expand... Hawajayafanyia kazi,ni kiburi/uzembe/umaskini?
Bushmamy said: Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, na hivyo kuhatarisha Usalama kwa wanaovuka kwa miguu. View attachment 3068212View attachment 3068214View attachment 3068217View attachment 3068220 Click to expand... Hawajayafanyia kazi,ni kiburi/uzembe/umaskini?