Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Taasisi ya Aunty Rich Soso Pembe Foundation imefanya ziara kwenye Jiji la Arusha kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa anayoyafanya hasa kupitia Royal Tour.
Ziara hiyo imeandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Aunty Rich na kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo Arusha Nation Park iliyopo Jijini Arusha akiwa na lengo la kuunga mkono mafanikio ya Rais Samia hasa kupitia Royal Tour.
Akiwa kwenye Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Arusha, Aunty Rich alipokelewa na Kaimu Katibu wa CCM wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM, Edward Kisanko.