Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

Sema Arusha kuna mwandishi wa habari Active sanaaaa... mbona usisikie matukito huko karatu, longido, na matukio huko yapo mengi kuliko hapo mjini? waandishi wapo kila tukio hawapitwi
 
Huo mkoa sijawahi kuuelewa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…