Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika kituo cha afya cha moshono.
Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers.
Hata hivyo Watu wote wenye wagonjwa katika kituo hicho hawaruhusiwi kuingia ndani ya eneo walipo wagonjwa wao.
Taarifa zilizopo ni kuwa katika maeneo Yote wanakotoka wagonjwa hao zitaenda kupulizwa dawa maal
Kipindu pindu hiko, jalini usafi wa mazingira hasa maji taka.Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika kituo cha afya cha moshono.
Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers.
Hata hivyo Watu wote wenye wagonjwa katika kituo hicho hawaruhusiwi kuingia ndani ya eneo walipo wagonjwa wao.
Taarifa zilizopo ni kuwa katika maeneo Yote wanakotoka wagonjwa hao zitaenda kupulizwa dawa maalumu