Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika Kituo cha Afya cha Moshono.
Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers.
Hata hivyo Watu wote wenye wagonjwa katika kituo hicho hawaruhusiwi kuingia ndani ya eneo walipo wagonjwa wao.
Taarifa zilizopo ni kuwa katika maeneo Yote wanakotoka wagonjwa hao timu ya wataalam wa Afya zitaenda kupuliza dawa maalumu.
Kama kweli hili jambo lipo halitakiwi kuwa siri, Serikali ijitokeze iweke wazi juu ya hili.