A
Anonymous
Guest
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi ukiuliza unaambiwa mfumo mara wiki ijayo. Tunataka tupate majibu changamoto ni nini.
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi ukiuliza unaambiwa mfumo mara wiki ijayo. Tunataka tupate majibu changamoto ni nini.