LGE2024 Arusha: Viongozi wapya wa serikali za mitaa waapishwa Arumeru

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule walikula kiapo cha uaminifu na kuahidi kutumikia Serikali ya Muungano wa Tanzania na wananchi kwa bidii na uadilifu.


Your browser is not able to display this video.
 
King’ori ipo Arusha kumbe?
 
Wote ni kijani.

Dawa pekee ya kuwaondoa ccm madarakani ni kuchapana tu.
 
Vyama rafiki wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…