Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule walikula kiapo cha uaminifu na kuahidi kutumikia Serikali ya Muungano wa Tanzania na wananchi kwa bidii na uadilifu.