Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Tunazungumzia konyagi fake pamoja na mkoa wa manyara. Masuala ya bia subiri kidogoHata bia nina wasiwasi, mf. Serengeti kubwa wakati mwingine inakuwa ya ajabu na haina povu la kutosha. Usikute kuna kakiwanda ka pembeni!
Wenzako wanapita mtaani kuchagua nyumba nzuri, wanaamini kwamba baada wa mwisho wa dunia wao watabaki kuirithi ulimwengu hvyo wanachagua mapema sehemu za kuishiMkuu, mimi siyo Mashahidi na imani yao sijaijua vizuri. Ingawa najua haamini kuongezeana damu.
Hili la nyumba ni jipya.
Wakishachagua wanapanga kwenye hiyo nyumba amma?Wenzako wanapita mtaani kuchagua nyumba nzuri, wanaamini kwamba baada wa mwisho wa dunia wao watabaki kuirithi ulimwengu hvyo wanachagua mapema sehemu za kuishi
Ni kweli kabisa, bia siku hizi nazo hazieleweki sio serengeti tu, ile taste halisi ya bia imepoteaHata bia nina wasiwasi, mf. Serengeti kubwa wakati mwingine inakuwa ya ajabu na haina povu la kutosha. Usikute kuna kakiwanda ka pembeni!